ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Arusha na Mwanza nyie wote mushapigwa chini na Dom japo Arusha Wana afadhari maana baada ya Dar ndio Jiji lenye skyline Kali Kwa Sasa.Hapa arusha imeshavuliwa ubingwa hawana chao.
Arusha Bado wanajikaza ila by 2030 watakuwa wamezidiwa na Dom Kwa Kila kitu sawa na Mwanza ilivyozidiwa Kwa Kila kitu kasoro idadi ya watu pakee.