Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Hii nchi ya hovyo sana Mwanza imetoka kukusanya bilion 260+ na sasa inakusanya 160bilion huoni kuna shida mahali hapa, mapato yanapotea, hata hivyo hatujali, Mwanza inapiga hatua kwa sasa kuliko kipindi ilipokuwa inakusanya sana.
El Nino effect 😁😁

Kila Mkoa Mapato Yalishuka.
 
Mwanza ina hotel mbili za five star, na hiyo ya nssf ndio imefunika zote hapa Tanzania kwa uzuri ukibisha utakuwa unajipu kwenye matako.
Eti Kwa uzuri imefunika wote wakati kuja hoteli inayoongoza Duniani Iko huko Serengeti mbugani.

Ukiacha hiyo,Mzizima tower Dar inaenda kupangishwa na hao hao Pia.
 
El Nino effect 😁😁

Kila Mkoa Mapato Yalishuka.
Yenyewe yashuke tu tumekuwa tukiwakusanyia mikoa ya wavivu, pia hii nchi itazame upya kuhepuka ku centralize uchumi kwenda Dar, kila kodi ya kielectronics 75% mapato ya mikoani yanahesabiwa Dar, mtu wa mikoani ukiagiza bidhaa au gari lako kodi ianhesabiwa Dar.

Sijaona effect ya el nino kwenye mikoa ambayo haitegemei kilimo lakn kama el nino imeathiri mapato nitakuwa na uhakika kuwa nchi yetu kwa 90% inaendeshwa na kilimo.
 
Dodoma Haina five star hotel, zaidi Kuna nyota tatu, mbili na guest houses 😂😂
20230721_120751.jpg
 
Dodoma Haina five star hotel, zaidi Kuna nyota tatu, mbili na guest houses 😂😂
Endelea kujifariji tu kwa upande wa mahoteli Mwanza haifiki hata robo kwa Dodoma😀😀.na kwa projects zingine za ujenzi wa mahoteli+conference centers zinazoendelea kwa sasa Dom baada ya miaka mitano mbele itaenda kuipita hadi Zanzibar..........Dar itaendelea kuongoza itafuata Dom alafu Zanzibar na Arusha ndio watafuatia.
 
Hotel zipi Babu acha vigelegele leta list ya hotel za Dodoma, ikikupendeza njoo na picha tukuonyeshe shoo chap chap. Unafikiri Dodoma unaijua peke yako Babu njoo ukiwa umekamilika tukupe za uso mda huu wengine hatunaga maneno mengi. Ni vitendo tu
 
Sema baada ya serikali na taasisi zake kujenga majengo yake Dodoma itabaki dormant. Unajivunia miradi ya serikali pesa inayokusanywa kila mkoa huongelei kipato Cha mtu mmoja mmoja. Baada ya hayo majengo kuisha mtabaki kuwa masikini kama kawaida. Tutakuwa tunakuja kufanya kazi na kusepa
 
Niko hapa kukujibu, njoo na picha ya kila kitu tuanze na hotel kwanza halafu ifuate migahawa ya kisasa, viota vya buruduni, n.k. twende kwa mfumo wa picha maneno tuwaachie akina mama
 
Thread inahusu Dom City vs Mwanza City sio Dodoma RC vs Mwanza RC naona unajaribu kuhamisha hamisha magoli😀😀. Tangulini ujenzi wa mji mkuu huwa unaisha....Abuja wameanza kujenga mjimkuu tangu mwaka 1990 mpaka leo bado unajengwa,Ankara Uturuki wameanza kuujenga mji mkuu tangu miaka ya 1930 mpaka leo unaendelea kujengwa,Brasilia-Brazil wameanza kujenga mji mkuu tangu miaka ya 1960 mpaka leo wanaendelea kuujenga. Kila siku zinaanzishwa taasisi na idara mpya za serikali ukijumlisha na mahitaji ya wananchi pamoja na kuongezeka kwa population mji mkuu utaendelea kujengwa mpaka Yesu atakaporudi. Hicho kilichofanyika mpaka sasa Dom ndio kwanza phase 1...bado kuna phase 11 ,phase 111 n.k
 
Nimesema hotel unaleta mgahawa. Na huko nako tunakukimbiza huna ubavu wa kushindana na Mwanza. Kaka ni kaka tu sikio lisizidi kichwa sana kisa miradi ya kiserikali.
Hujui kusoma au....👇👇

20230721_120749.jpg
 
Endelea kujifariji tu kwa upande wa mahoteli Mwanza haifiki hata robo kwa Dodoma😀😀.na kwa projects zingine za ujenzi wa mahoteli+conference centers zinazoendelea kwa sasa Dom baada ya miaka mitano mbele itaenda kuipita hadi Zanzibar..........Dar itaendelea kuongoza itafuata Dom alafu Zanzibar na Arusha ndio watafuatia.
Nilikuwa nakuona una hoja kumbe una viroja, eti dodoma ishindane na Mwanza kwenye hotel mbona huu ni uwazanga.
 
Nilikuwa nakuona una hoja kumbe una viroja, eti dodoma ishindane na Mwanza kwenye hotel mbona huu ni uwazanga.
Mwanza haifiki hata nusu ya Dom kwenye upande wa mahoteli.....Kitu pekee Mwanza inachozidi Dom ni population basi😂😂
 
Niko hapa kukujibu, njoo na picha ya kila kitu tuanze na hotel kwanza halafu ifuate migahawa ya kisasa, viota vya buruduni, n.k. twende kwa mfumo wa picha maneno tuwaachie akina mama
Kuna thread ya Mwanza ya kupost picha za kuedit unaweza kwenda kule.Humu ninakupa "facts" tupu.....👇👇
-Best Western City Hotel
-The Residence
-St Gaspar
-Vizzano
-Morena
-Rafiki Dodoma
-Nasheera
-Midlands
-Ambassadors
-DM
-DS
-Dodoma Grand
-Royal Village
-African Dreams
-Inoga
-Golden Crown
-La Stanar
-Verde View
-Miramonti
-Esperanza

apo bado sijakutajia nyingine zenye hadhi ya nyotatano zinazoendelea kujengwa ikiwamo ile ya Shoppers Plaza,Chef Asili, ya Mtumba karibu na Ikulu n.k
 
Unanipa fact ya blah blah, maneno matupu sisi siyo vipofu kama huwezi battle acha kubisha kitoto. Unaorodhesha majina ndo fact kwako??.
 
Back
Top Bottom