Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Una fact gani zaidi ya maneno nimekuambia leta picha ya hizo hotel huna nashindwa kuelewa unataka tushindane kwa maneno matupu au kwa vithibitisho? Mwenzako kaanza kuweka picha za hotels wewe unajigamba kwa maneno.
Sijigambi kwa maneno ..najigamba kwa "facts" tupu.Ukitaka kubishana na mimi uje na hoja na facts sio picha.Unataka tuhamishe mjadala kwenye picha....kama huamini facts zangu basi leta facts za kwako tuzipime.
Shule ulikua unasoma kwa picha au facts....😀😀
 
Wewe niliwahi kukushauri uende ukabishane facebook huko ndiko kuna porojo+michambo+mipasho+ngonjera.Humu ni Jamiiforums "home of great thinkers " tunabishana kwa hoja na facts tupu 😀😀
 
Sijigambi kwa maneno ..najigamba kwa "facts" tupu.Ukitaka kubishana na mimi uje na hoja na facts sio picha.Unataka tuhamishe mjadala kwenye picha....kama huamini facts zangu basi leta facts za kwako tuzipime.
Shule ulikua unasoma kwa picha au facts....😀😀
Facts ya maneno haina figure, data wala vithibitisho, hizi battlw si za maneno, picha zinaongea zaidi, nataka ile weka niweke.
 
Kwenye mijadala facts huwa zinajibiwa kwa facts na hoja kwa hoja,huwa hatubishani kwa picha...usitake kututoa kwenye reli 😀Kule sekondari tulikua tunafanya debate na mshindi alikua ni yule mwenye hoja+facts nyingi ....ingekua tunafanya debate kwa picha basi wanafunzi wangekua wanakuja na picha mfano topic inasema "education is better than money" mwenye picha nyingi ndio mshindi😂😂😂
 
Porojo nyingi mno....
 
Hujielewi, unatka nianze kusema mwanza kuna viwanda vya magari, kuna maghorofa ya 70f je utaamini? Ndio maana kwenye battle kama hizi picha ni jambo la muhimu.
 
IMG_20240715_143547.jpg
IMG_20240715_140913.jpg
IMG_20240715_143936.jpg
IMG_20240715_144030.jpg

Nyie vitumbua tu.
 
Back
Top Bottom