Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Je, ni kweli kuwa Dodoma CBD inaipiku Mwanza CBD?

Kwani ni Sheria campus kuzidiwa na unachokiita chuo kamili kwanza kimwonekano hata render zenyewe zinafanana fanana acha chuki za kijinga πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Mwanza imejaa wajinga nani aweke Chuo huko?
 
Mwanza ikiwa ya pili Kwa Mapato Arusha itakuwa ya ngapi?

GDP sio Mapato
Hivi wewe ng'ombe ya huko Sumbawanga unatoa wapi ujasiri wa kubishana na mwanza kiidadi ya watu mwanza bado juu Arusha ni wachache ndo GDP unayoisema lakini mwanza miradi ikikamilika yote mwanza is untouchable Arusha licha ya mbeleko ya serikali lakini ni mji wa hovyo Kwa mwanza πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
 
Kwani ni Sheria campus kuzidiwa na unachokiita chuo kamili kwanza kimwonekano hata render zenyewe zinafanana fanana acha chuki za kijinga πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
Chuo Cha Mipango IRDP ni kimoja tu Dom...kwingine kote ni "regional campuses".Na kwa taarifa yako IRDP Dom wameshaomba TCU kupandishwa hadhi kuwa "fuly fledged University" ndiomana kwa sasa wanafanya extension na ujenzi wa majengo mapya kwenye eneo lingine lililopo karibu na Hospitali ya St Gemma
 
Hivi wewe ng'ombe ya huko Sumbawanga unatoa wapi ujasiri wa kubishana na mwanza kiidadi ya watu mwanza bado juu Arusha ni wachache ndo GDP unayoisema lakini mwanza miradi ikikamilika yote mwanza is untouchable Arusha licha ya mbeleko ya serikali lakini ni mji wa hovyo Kwa mwanza πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚ πŸ˜‚
GDP sio Mapato
 
GDP sio Mapato
Pambana na hicho kipande kwanza mwanza on πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯ πŸ”₯
Screenshot_20240924-091313.png
Screenshot_20240924-091326.png
Screenshot_20240924-091344.png
Screenshot_20240924-091402.png
Screenshot_20240924-091430.png
Screenshot_20240924-091435.png
 
Attachments

  • Screenshot_20240924-091209.png
    Screenshot_20240924-091209.png
    1.1 MB · Views: 6
  • Screenshot_20240924-091226.png
    Screenshot_20240924-091226.png
    821.4 KB · Views: 5
  • Screenshot_20240924-091233.png
    Screenshot_20240924-091233.png
    1.2 MB · Views: 5
  • Screenshot_20240924-091244.png
    Screenshot_20240924-091244.png
    991.9 KB · Views: 5
  • Screenshot_20240924-091259.png
    Screenshot_20240924-091259.png
    840.2 KB · Views: 5
  • Screenshot_20240924-091450.png
    Screenshot_20240924-091450.png
    927.3 KB · Views: 5
  • Screenshot_20240924-091148.png
    Screenshot_20240924-091148.png
    1.1 MB · Views: 5
  • Screenshot_20240924-091142.png
    Screenshot_20240924-091142.png
    1 MB · Views: 5
  • Screenshot_20240924-091136.png
    Screenshot_20240924-091136.png
    1.1 MB · Views: 6
Back
Top Bottom