Hujajibu swali...nataka unioneshe hoteli yoyote Mwanza yenye capacity ya 10 conference centres ndani ya eneo moja na parking inayoweza kuhost magari zaidi ya 1000 tumalize ubishi...😂😂😂Wewe ni pimbi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujajibu swali...nataka unioneshe hoteli yoyote Mwanza yenye capacity ya 10 conference centres ndani ya eneo moja na parking inayoweza kuhost magari zaidi ya 1000 tumalize ubishi...😂😂😂Wewe ni pimbi tu
Una kiwango gani cha elimu isije nikawa nabishana na darasa la sita 😂😂..Hili daraja lipo Mwanza CBD eti...🤣🤣🤣🤣🤣4.ujenzi wa daraja la kigongo busisi ujenzi upo asilimia 93 🤣🤣🤣🤣
Ana bachelor Gani huyo acha kumvimbisha kichwa mwendesha bajaji mi namjua huyo boya.huna usomi wowote....hyo bachelor yako Tena yenye GPA za kudunduliza ..usitutishe hapa ..huu Uzi huwezi .nenda jukwaa siasa ndio size yqko
Ungeanza wewe kwanza kuleta hiyo hotel halafu kusubiri kujibiwa. Unakomaa watu wakuletee hotel kama nani kwa mfano...Hujajibu swali...nataka unioneshe hoteli yoyote Mwanza yenye capacity ya 10 conference centres ndani ya eneo moja na parking inayoweza kuhost magari zaidi ya 1000 tumalize ubishi...😂😂😂
Kwani nani kakwambia kuna miradi iliyosimama mwanza hujui kaa kimya huku Kuna 1.ujenzi wa bandari ya mwanza south unaendelea.🤣🤣🤣Kawadanganye washamba wenzako hizo porojo yaani unajitutumua kuongelea vitu ambavyo hata ujenzi haujaanza 😂😂. Wenzenu Dom miradi yao yote ni utekelezaji tu sio siasa🤣🤣👇👇
-Ring road ipo 50%
-Uwanja wa Kimataifa msalato upo 70%
-Barabara za mitaani hizo ndio balaa kilasiku zinajengwa mpya
-TANROADS hq ujenzi upo 80%
-TBS hq ujenzi upo 80%
-Tume ya Umwagiliaji ujenzi upo 60%
-Ofisi ya Taifa ya Mashtaka ujenzi upo 80%
N.k 😂😂😂
Kawaite na wenzako wale mashabiki maandazi+ mbururaz mje mbishane na mimi mwenye IQ kubwa ninayejibu kwa facts,details,references,hoja zilizoenda shule 😂😂😂wakuletee hotel kama nani kwa mfano
Ndio lazima ushangae,Mwanza ni Kijijini Kwa washambaHahahahahahahahaha yaani mtu atoke mwanza aje ashangae ukame village huna akili wewe mwanza inanukia umjini mjini Hilo bwawa unalosema lipo Dodoma mwanza Kuna ziwa la asili na upepo mzuri na beach Kali zinaanza kujengwa naipenda mwanza sana aiseee
Leta hiyo hotel tuione maana uliopost ni uchafu tu, Then nitakuletea hotel sio hiyo hostel ya shule uliopostHujajibu swali...nataka unioneshe hoteli yoyote Mwanza yenye capacity ya 10 conference centres ndani ya eneo moja na parking inayoweza kuhost magari zaidi ya 1000 tumalize ubishi...😂😂😂
Acha uboya basi we jinga.Ukitaka kubishana na mimi kwanza uwe smart+updated kichwani pili uwe na facts na hoja zilizoenda shule.
Picha za kuedit na video peleka kwenye thread yenu mkajifariji👇👇
Mwanza City: The Photo Gallery
a special thread for the rocky city. let us share some photos, underconstruction projects as well as proposed projects in mwanza. NB do not take time to compare the city with other cities from tz. naanza na picha hizi then unaruhisiwa kutupia pia.....www.google.com
Kama hamjwasoma hawapendi picha kwasababu mji wao wanaufahamuHatarudia tena kupost mabweni ya shule halafu aseme hotel 🤣
🤣🤣🤣🤣🤣Zero brain, huna exposure hata kidogo.🤣🤣Mwanza na Kanda ya Ziwa yote hakuna hoteli yoyote yenye ukubwa kama wa St Gaspar Hotel & Conference Center.
St Gaspar Hotel- kumbi za conference centers zaidi ya 10 eneo moja, parking kubwa inayotosha kupaki magari zaidi ya 1000 nitajie hoteli yoyote Mwanza yenye ukubwa huo😂😂😂
Mnapoleta udom na magufuli city zinakuwa CBD?, tulia msumari ukuchokonoe vizuriHuko shule ulienda kusomea ujinga eti...Hii thread inahusu Jiji la Mwanza sio mkoa wa Mwanza 😂😂Daraja la Kigongo-Busisi linaunganisha wilaya za Misungwi na Sengerema.
Nakuongezea mkuuKwani nani kakwambia hakuna miradi iliyosimama mwanza hujui kaa kimya huku Kuna 1.ujenzi wa bandari ya mwanza south unaendelea 🤣🤣🤣
2.ujenzi wa bandari ya north mwanza unaendelea zaidi ya bilioni 24 za kuanzia zimetolewa na TPA 3.ujenzi wa meli kubwa kupita zote katika maziwa makuu ujenzi upo asilimia 99 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
4.ujenzi wa daraja la kigongo busisi ujenzi upo asilimia 93 🤣🤣🤣🤣
5.ujenzi wa soko la kisasa mjini kati zaidi ya asilimia 90🤣🤣🤣🤣
6.ujenzi wa barabara ya igoma buhongwa ujenzi umeshaanza na upo asilimia 20
🤣🤣🤣🤣
7.ujenzi wa jengo la uwekezaji TIC ujenzi upo asilimia 82.🤣🤣🤣
8.upanuzi wa Airport ujenzi unaendelea 🤣🤣🤣. Kiufupi mwanza is the rising giant of east Africa ..hii ni habari chungu sana kwa Wana ukame village fc
Nitakutukana usijilegeze kingeseKawaite na wenzako wale mashabiki maandazi+ mbururaz mje mbishane na mimi mwenye IQ kubwa ninayejibu kwa facts,details,references,hoja zilizoenda shule 😂😂😂
Eti ofisi za Dodoma hazina feni au AC we thubutu ..we utakuwa ni wa mpwapwa huko ..ufukara umejaa Hadi ofisi hazina FENI ..Mbona ofisi nyingi za Dom hazina feni wala AC kama hali ya hewa ni mbaya🤣🤣. Naona umeamua kuleta vioja....Dubai inaongoza duniani vp unaijua hali ya hewa ya kule.
Kama hali ya hewa ni kigezo cha kupima ubora wa mji basi Lushoto,Njombe,Makete,Mafinga zingeshapewa hadhi ya Jiji.
Rudi shule aisee
Vumbi linaanzia mjini na ule ukame sasa ndo maana ni mkoa unaoongoza kuwa na wagonjwa wa macho (trachoma). Ila kutana na mburula wa Dom vidunje watakavyokubishia.Eti ofisi za Dodoma hazina feni au AC we thubutu ..we utakuwa ni wa mpwapwa huko ..ufukara umejaa Hadi ofisi hazina FENI ..
Dodoma usipoweka feni au AC unakufa ...plus vumbi lile 😁
😂😂😂Chuo Cha Mipango kipo kimoja tu Dom ....Mwanza ni branch🤣🤣🤣🤣🤣14. Upanuzi chuo Cha mipango
Huna uwezo wa kubishana na IQ kubwa kama yangu wewe kwanza shukuru nakupatia details+facts na kukuongezea maarifa ya bure ambayo huwezi kupata popoteNitakutukana usijilegeze kingese
Hili ni Jengo la PSSSF ..Gold Crest ni wapangaji tu pale basement parking ni shida kwa jinsi palivyobanana😂😂.Dodoma is underdog
View attachment 3128673