Je, ni kweli kuwa hadi Rais Magufuli anafariki mfuko wa UREA Kg 50 ulikuwa Tsh. 50,000/- leo umefika Tsh. 147,000/-

Je, ni kweli kuwa hadi Rais Magufuli anafariki mfuko wa UREA Kg 50 ulikuwa Tsh. 50,000/- leo umefika Tsh. 147,000/-

T2020

Senior Member
Joined
Jul 15, 2020
Posts
158
Reaction score
361
Mkulima huyu anadai ilikuwa ikiongezwa Tsh 1,000 anamwambia Waziri rudisha Tsh 50,000 Waziri wa sasa alikuwepo akiwa Naibu.

Siku amekufa kesho yake kabla hajazikwa ikaongezwa Tsh 20,000 ikawa Tsh 70,000. Leo ni Tsh 147,000 na Naibu kawa Waziri.

Wadai mnaofatilia bei ya pembejeo tupeni ukweli wa hili. Wengine tuko kwenye mafuta.
 
Tunajua Russia ni miongoni mwa wazalishaji wakubwa wa mbolea na kwa mazingira yalivyo wala halina ubishi.

Naomba serikali hebu fanyeni subsidy kwa wakulima wapeni nafuu hatakama mtawachaji baadae hata shilling chache kwa kilo kufidia gape, tusaidie sector ya kilimo kama kweli tunataka iajiri na iwavutie vijana kuingia kwenye kilimo.
 
Mkulima huyu anadai ilikuwa ikiongezwa Tsh 1,000 anamwambia Waziri rudisha Tsh 50,000 Waziri wa sasa alikuwepo akiwa naibu.

Siku amekufa kesho yake kabla haiazikwa ikaongezwa Tsh 20,000 ikawa Tsh 70,000. Leo ni Tsh 147,000 na naibu kawa Waziri.

Wadai mnaofatilia bei ya pembejeo tupeni ukweli wa hili. Wengine tuko kwenye mafuta.
Mengine yanajengwa kutoka a na matokeo ya uharibifu
 
Mkulima huyu anadai ilikuwa ikiongezwa Tsh 1,000 anamwambia Waziri rudisha Tsh 50,000 Waziri wa sasa alikuwepo akiwa naibu.

Siku amekufa kesho yake kabla haiazikwa ikaongezwa Tsh 20,000 ikawa Tsh 70,000. Leo ni Tsh 147,000 na naibu kawa Waziri.

Wadai mnaofatilia bei ya pembejeo tupeni ukweli wa hili. Wengine tuko kwenye mafuta.
Kazikwe chato wewe kulia huyo mkulima kushoto mwa marehemu jiwe. Tuna changamoto za uchumi lakini sio sababu ya kubadilika kwa Rais.
 
Sawa jiwe alikua muuaji na mtesaji. Ila huyu chui jike ndio haeleweki anatembea na beat gani
JIWE alikuwa muuaji na mtesaji wa watu wote waliokuwa wanaibia Serikali na kuharibu uchumi wa nchi na wa mtu mmoja mmoja. Aliyeko madarakani anakumbatia kundi dogo linaloibia Serikali na kutesa walio wengi. UKWELI NDIO HUO
 
Back
Top Bottom