eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
Sababu million za kutokufanya unaweza kuzipata muda wowote. Kuanza kufikiri sababu za kuzuwia kufanya kitu ni ujha wa hali ya juu, kama fikra zako ni hizo ni wakupewa pole tu.
Siku zote mafanikio huletwa kwa fikra za kufanya sio za kuzuwia, unapozishinda sababu za kuzuwia ndipo unakuwa na sababu za kufanya. Hutatuwi tatizo kwa kujiongezea matatizo.
Huna fikra za maana, una fikra za ujinga uliojazwa nao "systematically" kuanzia chekechea, umefundishwa kuziona changamoto (problems), hujafundishwa kuzuwia changamoro (prevent). Hilo ndilo tatizo lako.
Kwakukusoma tu, nimeona mawazo yako hayo finyu sana, maendeleo ya wenzako utayasoma kwenye mitandao tu.
Hujaja na wazo hata moja la kufanya, umeshikilia bango kutokufanya tu. Ujinga huo wa wazi wazi. Unaonesha kuanzia malezi yako nyumbani kwenu yalikuwa yakudhibitiwa tu, na kama hiyo haitoshi, Na shule ulizomeshwaa ikawa ni hayohayo ya kujazwa ujinga systematically. Huna jipya, una ya zamani tu.
Punguza jazba mama, mambo kama haya hayahitaji hasira. Kunywa maji utulie halafu uje tena kueleza, sababu za kuzuia na si nani alizuia. Tukijua sababu, ndiyo tutajua namna bora ya kurekebisha mapungufu kama yapo.
BTW, pole kwa kugusa nerve zako maana umeongea kwa hasira sana.
Tuweke hisia kando na kutumia uwezo wetu wa kufikiri vizuri.
Uwe na asubuhi njema.