Je, ni kweli kuwa hadi Rais Magufuli anafariki mfuko wa UREA Kg 50 ulikuwa Tsh. 50,000/- leo umefika Tsh. 147,000/-

Je, ni kweli kuwa hadi Rais Magufuli anafariki mfuko wa UREA Kg 50 ulikuwa Tsh. 50,000/- leo umefika Tsh. 147,000/-

Mkulima huyu anadai ilikuwa ikiongezwa Tsh 1,000 anamwambia Waziri rudisha Tsh 50,000 Waziri wa sasa alikuwepo akiwa naibu.

Siku amekufa kesho yake kabla hajazikwa ikaongezwa Tsh 20,000 ikawa Tsh 70,000. Leo ni Tsh 147,000 na naibu kawa Waziri.

Wadai mnaofatilia bei ya pembejeo tupeni ukweli wa hili. Wengine tuko kwenye mafuta.
Mbolea ipande huko duniani wewe usingizie kufa kwa Mwendazake!

Chuki zako kwa serikali ya awamu ya sita zitakuua bure!
 
Hivi timu Mwendazake wakiungana na Chadema hawa Boys II si wepesi kabisa. Tatizo ushamba tu.
 
Hivi timu Mwendazake wakiungana na Chadema hawa Boys II si wepesi kabisa. Tatizo ushamba tu.
Yaani kuungana na chama Cha gear angani.Utavuna mabua uliza UKAWA watakupa uzoefu
 
"Correlation does not imply causation"

Huo ni msemo unaotumika kwenye research. Bei kupanda baada ya kifo cha mtu haimaniishi kifo cha mtu kimesababisha bei kupanda. Bei inaweza kuwa imepanda kwa sababu nyingine tofauti.
 
Mbolea ipande huko duniani wewe usingizie kufa kwa Mwendazake!

Chuki zako kwa serikali ya awamu ya sita zitakuua bure!
Watasingizia vita ya ukraine kwa kupandisha kupita kiasi bila huruma! Ni kweli kuna sababu ya vita lakinin si kwa kiasi hicho!
 
Magufuli alikuwa ana uwezo wakupambana na wakati mgumu kwakutafuta solution na unaona kabisa Serikali yake inapambana nakumbuka kile kipindi chake Cha sukari ilivyopanda bei Serikali ikawakamata baadhi ya wafanyabiashara wengine walikuwa wahindi wameficha sukari kwenye magodown na sehemu mbalimbali na hawasambazi mtaani akatoa onyo Kali kwa wafanyabiashara watakaokaidi tamko la Serikali watakumbana na mkono wa Sheria baada ya kupita muda fulani bei sukari ikarudi bei ya awali.

Unaona kabisa alivyopambana na covid-19 unajua kabisa huyu ni Raisi but huyu Raisi wasasa jamaa kama gogo kama vile anaongoza nchi tofauti sio mfuatiliaji, anapuuzia mambo yeye amekuwa source ya matatizo hana vision yeye anachojua ni kudhurura tu nchi za watu
 
Na bado mpaka ikifikia milioni saba ndio kidoogo tutaanza kuulizana maswali.
 
Hakuna jinsi, hata ifike 200k kwa mfuko mtanunua tu mpaka hapo akili zitakapo wakaa sawa.
MH Zelensky yapo madai kwamba hiyo vita mnayoiendesha hapo na huyo jamaa yako Putin ndo inasababisha mpera mpera huu huku kwetu dunia ya tatu!!!

Unasemaje ktk hili?maana bongo ya sasa ukilala ukiamka bei imepanda.
 
Wewe huoni vita vya Urusi na Ukraine??

Mwambieni huyo mkulima kwa sasa tunapigana vita kwanza, tukimaliza hizo vita tutalunguza na hizo mbolea, kwa sasa alime tuu bila mbolea
Mwezi March,2021 hakukuwa na vita ya Urusi na na Ukraine kwanini ilipanda ghafla hivyo?
 
Mange alivyowaambia muandamane kudai haki mkamgomea, acheni muisome namba Tu. Mpaka maji tuite Mma
 
Mwendazake ni lazima afufuliwe atake asitake, na Askofu Rashid alazimishwe kumfufua, tumeshoshwa na ugumu wa maisha walisikika push gang
 
JIWE alikuwa muuaji na mtesaji wa watu wote waliokuwa wanaibia Serikali na kuharibu uchumi wa nchi na wa mtu mmoja mmoja. Aliyeko madarakani anakumbatia kundi dogo linaloibia Serikali na kutesa walio wengi. UKWELI NDIO HUO
Wenye umoja mnatabu😜
 
Tunajua Russia ni miongoni mwa wazalishaji wakubwa wa mbolea na kwa mazingira yalivyo wala halina ubishi.

Naomba serikali hebu fanyeni subsidy kwa wakulima wapeni nafuu hatakama mtawachaji baadae hata shilling chache kwa kilo kufidia gape, tusaidie sector ya kilimo kama kweli tunataka iajiri na iwavutie vijana kuingia kwenye kilimo.
Kwani rusia imezuiwa kuleta mbolea afrika au nasi ni umoja wa ulaya?
 
Mange alivyowaambia muandamane kudai haki mkamgomea, acheni muisome namba Tu. Mpaka maji tuite Mma
Mange huyuhuyu anayegombania kumpa mkono wa salamu raichi chamia chulutu?
 
Tunajua Russia ni miongoni mwa wazalishaji wakubwa wa mbolea na kwa mazingira yalivyo wala halina ubishi.

Naomba serikali hebu fanyeni subsidy kwa wakulima wapeni nafuu hatakama mtawachaji baadae hata shilling chache kwa kilo kufidia gape, tusaidie sector ya kilimo kama kweli tunataka iajiri na iwavutie vijana kuingia kwenye kilimo.
Mbolea ilipanda toka mwaka jana. Tusijifiche kwenye vita
 
1 Litre of Petrol

1.Total cost CIF to Dar port 1,162
2. Wharfage 20.5
3. Railway devl levy 19.4
5. Customs processing fee 6.0
5. Weights & measures fee 5.6
6. TBS charge 10.0
7. TASAC fee 8.7
8. EWURA fee 9.0
9. Fuel making 16.0
10. Demurrage costs 8.0
11. Surveyors cost 8.00
12. Financial cost 17.0
13. Evaporation losses 6.5
14. Fuel levy 513.00
15. Excise duty 479.0
16. Petroleum fee 180.0
17. Oil marketing companies 163.0
18. Charges to executive agencies 6.0
19. Service levy to LGA 6.7
20. Retailers margin (profit) 210.5
21. Transport charges (local) 50.5

Total Levy 1,743.4
Plus TC 1,162

Total cost 2,905.4 @Wabunge wetu,huo mzigo wa 1,743.4 yote mlaji wa mwisho,Wananchi wenu wanakwenda kulipa kwa kila lita moja ya mafuta, yaani kodi ni kubwa kuliko bei halisi ya mafuta🤣 Tanzania nchi yaanguu..!
 
Mange huyuhuyu anayegombania kumpa mkono wa salamu raichi chamia chulutu?
Kipindi kile alikuwa serious, baada ya kuona Watz mbumbumbu akaamua kupotezea. Sasa hv hajali kaamua Bora awapige Watz 1000 zao ajitajirishe Tu.
 
Back
Top Bottom