Je, ni kweli kuwa Morocco ni Waarabu na si Waafrika?

Ni Africans kwasababu wapo Africa

Lakini ni wa rabu kwasababu Wana rangi za kiarabu

Basi hawa tunawa batiza jina la WA AFRICA WEUPE/White Africans
 
wetu weusi wamelaanika kwa kweli, Hivi uarabu wake unamzuiaje kuwa Muafrica? wa morocco ni waarabu na pia ni waafrica.
 
Watajijua wenyew,ninachojua kombe hawabebi
IIIIII
Inategemea.Watu wa Morocco ni waafika kwa sababu wako Africa. Pia ni Waarabu kwa kabila na lugha. Ndani ya Wamorroco kun makabila pia ambayo huongea lugha tofauti na ile lugha ya taifa ambayo ni Kiarabu.
 
Ni waarabu waacheni. Waarab wanawatambua kuwa ni ndugu zao mimi ni nani nipingane nao.
La msingi hapa tengeneza timu zetu kombe lijalo zikapambane kuliko kuendelea kulazimisha undugu na mtoto wa mjomba aliyefanikiwa
🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…