Je, ni kweli kuwa Morocco ni Waarabu na si Waafrika?

Je, ni kweli kuwa Morocco ni Waarabu na si Waafrika?

Ni Africans kwasababu wapo Africa

Lakini ni wa rabu kwasababu Wana rangi za kiarabu

Basi hawa tunawa batiza jina la WA AFRICA WEUPE/White Africans
 
wetu weusi wamelaanika kwa kweli, Hivi uarabu wake unamzuiaje kuwa Muafrica? wa morocco ni waarabu na pia ni waafrica.
 
Watajijua wenyew,ninachojua kombe hawabebi
IIIIII
Mkuu Morocco ipo kaskazini mwa bara la Africa na si magharibi.

Na kuhusu kukataa kuwa sio nchi ya Africa na maoni yao, jeografia inaonyesha na wote duniani wanatambua kuwa ni nchi ya Africa.

Nafikiri umasikini, njaa, ujinga, siasa mbovu na upuuz mwngine wa nchi nying za Africa ndio sababu kuu ya wao kuukataa Uafrica. Na ukitazana wengi wana asili ya Kiarabu.

Note: Hakuna anaependa kuwa na ndugu mwenye sifa tajwa hapo juu.
Inategemea.Watu wa Morocco ni waafika kwa sababu wako Africa. Pia ni Waarabu kwa kabila na lugha. Ndani ya Wamorroco kun makabila pia ambayo huongea lugha tofauti na ile lugha ya taifa ambayo ni Kiarabu.
 
Ni waarabu waacheni. Waarab wanawatambua kuwa ni ndugu zao mimi ni nani nipingane nao.
La msingi hapa tengeneza timu zetu kombe lijalo zikapambane kuliko kuendelea kulazimisha undugu na mtoto wa mjomba aliyefanikiwa
🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom