Je, ni kweli kuwa Morocco ni Waarabu na si Waafrika?

Mkuu Morocco ipo kaskazini mwa bara la Africa na si magharibi.

Na kuhusu kukataa kuwa sio nchi ya Africa na maoni yao, jeografia inaonyesha na wote duniani wanatambua kuwa ni nchi ya Africa.

Nafikiri umasikini, njaa, ujinga, siasa mbovu na upuuz mwngine wa nchi nying za Africa ndio sababu kuu ya wao kuukataa Uafrica. Na ukitazana wengi wana asili ya Kiarabu.

Note: Hakuna anaependa kuwa na ndugu mwenye sifa tajwa hapo juu.
Hapo umeongea ukweli mkuu
 
Ni issue ya kushangaza kabisa wakati ki jiografia ipo Asia.

Hata kwa Israel pia ki jiografia ipo Asia lkn ni member wa kudumu wa bara la Ulaya.
Ndicho nilitaka kumwambiaa jamaa kuwa location si hoja, waliotengeneza mabara hasa bara la ulaya walijichagulia nchi walizoona wan similarities wakajiita bara la ulaya, hivyo sioni shida hao wamorroco kujiona wao waarabu maana wanafanana kwa rangi, tamaduni na dini.
 
Na mimi hoja yangu ni kuwaona siku moja wanakuwa na ujasiri wa kujiondoa Afrika katika nyanja zote! Za kijamii, kiuchumi na kisiasa! kwa kufungamana na ndugu zao wa Kiarabu; Kama ilivyo kwa Israel inayoshirikiana kwa kila kitu na nchi za Ulaya, huku ikiwa katika eneo la Mashariki ya Kati.

Maana haileti mantiki hao Morocco pamoja na Waarabu wenzao wengine, kuendelea kuitumia Afrika kwa kama daraja. Hivyo hata kwenye hatua ya kufuzu haya mashindano, wangeenda kuitafuta hiyo nafasi kwa kupambama na Waarabu wenzao.

Kwa hali hiyo, nchi za Kiafrika zingewakilishwa na Waafrika halisi. Kinyume na hapo, nitaendelea kuwaona kama ni watu wanafiki, wabaguzi na wajuaji tu! Hata kama wengi wao ni Waislam wenye ngozi nyeupe.
 
Sisi tumezoea kutumiwa kama daraja mkuu watu wanajifanya tuko pamoja pale wanapotuhitaji kututumia mfano, wanahitaji kura zetu kwenye baraza la UN, au support yetu wametengwa na mataifa fulani, au rasilimali zetu.
Hao morroco, libya, egypt comoros, djibout wako kwenye arab league.
Afrika wapo bahati mbaya tu na nadhani wanajihusisha sana na mambo ya Arab kuliko hata union za Kiafrika.
No body stands for the losers
 
Morocco wamequalify kwa ajili ya SEMI-FINAL za world cup good news to Africa japo kuna rumours kuwa wao ni Arabs na so Africa na haya maneno yametoka kwao.

Well sisi sio kwamba tunawahitaji sana morocco lakini MOROCCO si waarabu

1. Culture-utamaduni wa waarabu esp kwenye mavazi wanatofautiana sana na morocco. Asili ya mavazi ya morocco ni Africa na sio Arab, Chakula Waarabu ni RICE based food na Morrocco ni BREAD based food (mikate ya yesu)[emoji1], Linguistic wamorroco asili ya lugha yao si kiarabu

2.Geography-Nchi ya Morocco inapatikana Africa ya magharibi na sio Asia au bara lenye Arabs nafikiri kuwa karibu na Mecca imeeafanya kuzoea zaidi uarabu kuliko africa

3. Historically- watu wa kwanza kuitawala Morocco ni ROMANS in 2nd Century AD so hakuna trace zozote zinazoonyesha chimbuko la waarabu morocco

BTW kama morocco hawapendi kuitwa Africans hilo sio tatizo ila wakumbuke WORLD CUP does not tell who is a real african and who is not.

Nasisi pia jamani tujitahidi kupambana tungekuwa na TIMU hata moja kutoka East Africa iliyofika hata 16 bora tusingekuwa watoto wa kufikia wa morocco

Lets find the way out
View attachment 2443361
Tatizo ni kuwa wanaukana U Africa, wakati tiketi iliyowapeleka world cup ni ya Africa !!. Ni ujinga wao. Morocco ni Africa.
 
Kwann mnataka kufanya mafanikio ya Morocco kua ya waafrika ebu tuache uchizi izi ni dalili za uchizi
Sjawai kusikia uingereza, German wakitaka mafanikio ya ufaransa yawe ya ulaya nzima
Waafrica tunapenda kutafta vijisababu na lawama kibao badala ya kutafta maendeleo yetu kivyetu
 
Hata waarabu mbona wameungana, Mfano Argentina vs France ni vita ya Ulaya na america kusini
 
Sisi tumezoea kutumiwa kama daraja mkuu watu wanajifanya tuko pamoja pale wanapotubutaju kututumua mfano, wanahitaji kura zetu kwenye baraza la UN, au support yetu wametengwa na mataifa fulani, au rasilimali zetu.
Hao morroco, libya, egypt comoros, djibout wako kwenye arab league.
Afrika wapo bahati mbaya tu na nadhani wanajihusisha sana na mambo ya Arab kuliko hata union za Kiafrika.
No body stands for the losers
[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Na mimi hoja yangu ni kuwaona siku moja wanakuwa na ujasiri wa kujiondoa Afrika katika nyanja zote! Za kijamii, kiuchumi na kisiasa! kwa kufungamana na ndugu zao wa Kiarabu; Kama ilivyo kwa Israel inayoshirikiana kwa kila kitu na nchi za Ulaya, huku ikiwa katika eneo la Mashariki ya Kati.

Maana haileti mantiki hao Morocco pamoja na Waarabu wenzao wengine, kuendelea kuitumia Afrika kwa kama daraja. Hivyo hata kwenye hatua ya kufuzu haya mashindano, wangeenda kuitafuta hiyo nafasi kwa kupambama na Waarabu wenzao.

Kwa hali hiyo, nchi za Kiafrika zingewakilishwa na Waafrika halisi. Kinyume na hapo, nitaendelea kuwaona kama ni watu wanafiki, wabaguzi na wajuaji tu! Hata kama wengi wao ni Waislam wenye ngozi nyeupe.
[emoji1][emoji1][emoji1] Kwenye ushindi hawatutaki
 
Mimi sioni kama kuna undugu unao lazimishwa! Kimsingi hao Morocco wapo ndani ya Bara la Afrika.

Na kama wanajiona wao siyo Waafrika, basi wahamie huko kwa Waarab wenzao kama inawezekana.

Au wajitenge kabisa na Bara la Afrika. Kinyume na hapo, basi ni wanafiki tu. Maana hata hiyo nafasi yenyewe wameipatia Afrika, na siyo Uarabuni.
Acha kua na fikra za kimasikini wewe,unalazimisha undugu? pambaneni na hali zenu,mliwaponda Misri sio waafrika mechi yao na Senegal.acheni unafiki,mbona nchi za Ulaya hazijikombi kwa ufaransa? kila nchi inajipambania kivyake.
 
Wote wanaohangaika na wa Morocco mm nawaona ni wapumbavu tu.Hao waseme wao sio wa Africa ni waarabu sawa tu.

Hili kombe kila nchi imeshiriki kwanini ung'ang'anie undugu wakat jambo limepita kila nchi???Mm huwa naawambiaga watu hata wakisema kombe la nchi yao kwangu naona wapo sahihi kwasababu kombe la Dunia halikupita kwao tu.

Tena naona miaka ijayo wenye Africa yetu ndio tutashika akili ya kupambana kuliko kung'ang'nia kufunga ndoa isio kuwa na msingi(HUTAKIWI)
 
Ndio sitawatambua na kubeba hawabebi
Woyooo fifa world cup sio TFF NBC ligi yenye mabingwa wa mchongo, wababe wote wenye majina makubwa wamepigwaa huko Qatar, ngoja nikupe siri "bingwa wa fifa wc mwaka huu ni team ambayo haijawahi kutwaa kombe hilo,"

Jiongeze mwenyewe ukiri au ubaki na shingo ngumu kombe litatua Morocco upende usiende.
 
Morocco wamequalify kwa ajili ya SEMI-FINAL za world cup good news to Africa japo kuna rumours kuwa wao ni Arabs na so Africa na haya maneno yametoka kwao.

Well sisi sio kwamba tunawahitaji sana morocco lakini MOROCCO si waarabu

1. Culture-utamaduni wa waarabu esp kwenye mavazi wanatofautiana sana na morocco. Asili ya mavazi ya morocco ni Africa na sio Arab, Chakula Waarabu ni RICE based food na Morrocco ni BREAD based food (mikate ya yesu)[emoji1], Linguistic wamorroco asili ya lugha yao si kiarabu

2.Geography-Nchi ya Morocco inapatikana Africa ya magharibi na sio Asia au bara lenye Arabs nafikiri kuwa karibu na Mecca imeeafanya kuzoea zaidi uarabu kuliko africa

3. Historically- watu wa kwanza kuitawala Morocco ni ROMANS in 2nd Century AD so hakuna trace zozote zinazoonyesha chimbuko la waarabu morocco

BTW kama morocco hawapendi kuitwa Africans hilo sio tatizo ila wakumbuke WORLD CUP does not tell who is a real african and who is not.

Nasisi pia jamani tujitahidi kupambana tungekuwa na TIMU hata moja kutoka East Africa iliyofika hata 16 bora tusingekuwa watoto wa kufikia wa morocco

Lets find the way out
View attachment 2443361
Ila tabia ya wa Morocco kwa na mna flani inafanana na wale wanaosema kwao ni Oman.. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Just kidding

Sent from my MHA-L29 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom