Tetesi: Je, ni kweli kuwa siku hizi ukifanya miamala mikubwa benki unafuatiliwa hata akaunti kushikiliwa?

Watu kutokufuata taratibu haimaanishi sharia au kitu hakipo.
Elewa basi unapoambiwa Anti Money Laundering mkuu? Ukienda kutuma pesa nje au kufanya TISS local, unapojaza zile form lazima uwe na document za kuonyesha unafanya malipo ya kitu gani.

Hali kadhalika ukiwa umetumiwa pesa ndefu kutoka nje, hasa kwa SWIFT, mpunga hautawekwa kwenye akaunt yako hadi wajiridhishe kwamba hizo pesa ni za kitu gani? Na huo utaratibu ni sharia ya BoT, kama kuna benki hawafanyi hivyo, ni kupuuzia tu lakini mambo yanatakiwa yaende namna hiyo.
 
Unaropokwa tu mjomba!

Haya tumeona uwepo wako!
 
Unaropokwa tu mjomba!

Haya tumeona uwepo wako!
wewe ndo unaropokwa mkuu. hizo mambo za kuulizana sijui zinatoka wap . kwa mfano mtu akatumia Simbanking kuhamisha pesa kutoka accnt yake kwenda accnt nyingine ni mpaka awe na documents zipi kwa mfano

All is Well
 
Hivi kiwango cha mwisho kuhamisha pesa toka sim banking ni sh. Ngapi kwa siku mkuu?

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hiyo hela ikiingia TRA wanawewe. Lazima ulipe chao
 
Sure

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hiyo system ya kufuatiliwa sana imeanza sasahivi japo zamani ilikuwepo ila sio sana.

Sahizi watakaokuwa wanaweka Pesa ni wale wa mishahara na vilaki laki ndio watabaki kutumia bank ila wafanyabiashara wa mamilioni itakuwa ni "hand to hand'
AMlA imechambua yote haya
 
Hiyo hela ikiingia TRA wanawewe. Lazima ulipe chao
TUKIUZIANA NYUMBA ,GARI AU MASHAMBA TRA wanafuatilia hiyo miamala ili kulipa VAT ya 18% au mie ndo sielewi?
 
hahahaha hela zako lakini unatakiwa utolee maelezo umezipataje wakati ukiwa huna huulizwi kwann huna hela, nchi ikiongozwa na majuha tabu sana
 
hahahaha hela zako lakini unatakiwa utolee maelezo umezipataje wakati ukiwa huna huulizwi kwann huna hela, nchi ikiongozwa na majuha tabu sana
ukiwa huna kitu ni sawa na mkimbizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…