Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
Vipi katika m pesaExactly. Pamoja na kutumia external wallets kama bitcoin, paypal etc
Kuweka pesa ndefu bank za Tanzania ni very risky business
Sent using Sukhoi Su-57
Noma
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vipi katika m pesaExactly. Pamoja na kutumia external wallets kama bitcoin, paypal etc
Kuweka pesa ndefu bank za Tanzania ni very risky business
Sent using Sukhoi Su-57
Kwani ukiulizwa wakati unatoa tatizi liko wapi? HELA za halali hupati shida kutoa maelezo ukiwa unatoa au kuweka.
acheni kudanganya umma. hakuna wa kukuuliza , nimeuza toyota harrier new model this january jamaa kaingia CRBD internet banking kahamisha mzigo wa kutosha kwa accnt yangu (more than 19M) , hakuna wa kuniuliza wala jamaa hajaulizwahadi leo. ...hzo mambo za kuulizana pesa umetolea wapi ni kama unafanya transaction counter ama vp ?
All is Well
Unaropokwa tu mjomba!acheni kudanganya umma. hakuna wa kukuuliza , nimeuza toyota harrier new model this january jamaa kaingia CRBD internet banking kahamisha mzigo wa kutosha kwa accnt yangu (more than 19M) , hakuna wa kuniuliza wala jamaa hajaulizwahadi leo. ...hzo mambo za kuulizana pesa umetolea wapi ni kama unafanya transaction counter ama vp ?
All is Well
wewe ndo unaropokwa mkuu. hizo mambo za kuulizana sijui zinatoka wap . kwa mfano mtu akatumia Simbanking kuhamisha pesa kutoka accnt yake kwenda accnt nyingine ni mpaka awe na documents zipi kwa mfanoUnaropokwa tu mjomba!
Haya tumeona uwepo wako!
wewe ndo unaropokwa mkuu. hizo mambo za kuulizana sijui zinatoka wap . kwa mfano mtu akatumia Simbanking kuhamisha pesa kutoka accnt yake kwenda accnt nyingine ni mpaka awe na documents zipi kwa mfano
All is Well
si ndio hapo! wanakuuliza wakati Wa kutoa ili iweje! kwanini wasikuulize wakati Wa kuweka?
Ni kweli acha kubishaAcha kudanganya watu hakuna kitu km hichp 5m?? 15??? tangia lini benk ikuhoji hiyo ni pesa ndogo sn
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo hela ikiingia TRA wanawewe. Lazima ulipe chaoNaomba ufafanuzi kwa wajuvi tafadhali;
Nasikia tetesi kwamba ukiwa na pesa ndefu kwenye Akaunti au Akaunti ikitumiwa (ikiingiziwa)au kupokea pesa ndefu mathalani kuanzia 15milion nakuendelea unafuatiliwa kujieleza na TRA?
Nasikia hususani aliyetuma akiwa mfanya biashara mkubwa pesa hiyo inashikiliwa kwa kosa la utakatishaji fedha!?
Naomba mwenye taarifa zaidi anifahamishe kabla sijaingiziwa pesa ya nyumba yangu niliyoiuza!!
Nitafurahi zaidi kama nitapewa na mwongozo unaotakiwa kuzingatiwa kisheria kabla ya kuingiziwa pesa ndefu hususani hizi pesa za malipo au hata zile za Kubet!
Benki inahoji kutokana na trend ya account yako mfano account yako mwisho wa mwezi inawekewa laki moja lakini ghafla wakaona 5M huoni hiyo ni kubwa?Acha kudanganya watu hakuna kitu km hichp 5m?? 15??? tangia lini benk ikuhoji hiyo ni pesa ndogo sn
Sent using Jamii Forums mobile app
Huo utaratibu upo tokea zamani. Ulianzishwa kudhibiti utakatishaji wa pesa haramu (Anti Money Laundering). Ukipokea pesa kuanzia hata 5 M kama sio kawaida yako, utatakiwa utoe maelezo ya kuridhisha hizo pesa ni kwa ajili ya kitu gani. Utoe vilelezo umezipataje. Hilo ni takwa la BoT.
Sasa kwa mfano akaunti yangu wamezoea kuona mshahara unaingia mara moja, natoa ATM mara mbili tu unakata, ghafla inawekwa Milioni 10, lazima wahoji. Hapo TRA hata hawahusiki.
AMlA imechambua yote hayaHiyo system ya kufuatiliwa sana imeanza sasahivi japo zamani ilikuwepo ila sio sana.
Sahizi watakaokuwa wanaweka Pesa ni wale wa mishahara na vilaki laki ndio watabaki kutumia bank ila wafanyabiashara wa mamilioni itakuwa ni "hand to hand'
TUKIUZIANA NYUMBA ,GARI AU MASHAMBA TRA wanafuatilia hiyo miamala ili kulipa VAT ya 18% au mie ndo sielewi?Hiyo hela ikiingia TRA wanawewe. Lazima ulipe chao
za nje zikoje?ndo matatizo ya kutumia local banks hiz bora benk za nje mfano Fnb
Sent using Jamii Forums mobile app
ukiwa huna kitu ni sawa na mkimbizihahahaha hela zako lakini unatakiwa utolee maelezo umezipataje wakati ukiwa huna huulizwi kwann huna hela, nchi ikiongozwa na majuha tabu sana
KUTOA KWA WAKALA NI 5,000,000 NA KUHAMISHA KWENDA AKAUNT YA CRDB NI 5,000,000 ILA KUHAMISHIA MTU WA SIMU YAAN KWENYE LAINI NI 1,000,000Hivi kiwango cha mwisho kuhamisha pesa toka sim banking ni sh. Ngapi kwa siku mkuu?
Sent from my iPhone using JamiiForums