Pia ujue wanotoa kwenye account zao wengi hakuna usumbufu au maswali mengi kwa pesa kama 10M kurudi chini. Shida kumuingizia mtu pesa au kupokea toka kwa mtu hasa nje ya nchi hapo hata $4000 tu yanaanza maswali.Acha kudanganya watu wewe Kama milioni 20 mtu lazima ajieleze basi bank itabaki na kazi ya kusikiliza Maelezo ya watu kuanzia asuhuhi hadi jioni maaana watu wa anaotoa 20m na kuendelea Kwa Siku ni zaidi ya watu elfu moja Kwa Siku
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekwambia na ninarudia tena kama hujawahi kutana na kadhia hiyo kaa kimya usibishe vitu ambavyo watu vimewatokea na wanatoa ushuhuda na wewe haujawahi kutana nacho zaidi ya hapo ni upu.mbavu wako kupingana na ukweli.Sisi tunaokuambia tunatoa hela kila Siku mkuu tena zaid ya 30m labda Sema wewe ulipeleka 20m Wakati Acount yako haijawahi pokes hata laki moja
Sent using Jamii Forums mobile app
HIVI KAMA MTU KAVUNJA KIBUBU CHAKE HILO LIPOJE?
Wewe unaelemishwa unaleta ujinga, nikwamba kuna mtu anataka kulipwa hela mahali anakimbia anafungua account Siku chache anataka kuingiza milioni hamsini, mwingne anaenda bank wnafungua account anaandika kipato chake Kwa mwezi ni elfu hamsini Halafu kesho yake anataka kuweka milioni sitini, mwingne anafungua account inakaaa hadi Mwaka halafu anakimbia kutaka kuweka milioni arobaini, kiufupi nikuwa mazingira ya kuwekewa hela au kutoa ndio yanayofanya mtu ahofu,Nimekwambia na ninarudia tena kama hujawahi kutana na kadhia hiyo kaa kimya usibishe vitu ambavyo watu vimewatokea na wanatoa ushuhuda na wewe haujawahi kutana nacho zaidi ya hapo ni upu.mbavu wako kupingana na ukweli.
Kumbe akili unazo halafu unajifanya hutaki kuzitumia aalaaah!Wewe unaelemishwa unaleta ujinga, nikwamba kuna mtu anataka kulipwa hela mahali anakimbia anafungua account Siku chache anataka kuingiza milioni hamsini, mwingne anaenda bank wnafungua account anaandika kipato chake Kwa mwezi ni elfu hamsini Halafu kesho yake anataka kuweka milioni sitini, mwingne anafungua account inakaaa hadi Mwaka halafu anakimbia kutaka kuweka milioni arobaini, kiufupi nikuwa mazingira ya kuwekewa hela au kutoa ndio yanayofanya mtu ahofu,
Sent using Jamii Forums mobile app
KUTOA KWA WAKALA NI 5,000,000 NA KUHAMISHA KWENDA AKAUNT YA CRDB NI 5,000,000 ILA KUHAMISHIA MTU WA SIMU YAAN KWENYE LAINI NI 1,000,000
Haya maelezo yako yanaonesha kuwa kuna mazingira ambayo muwekaji/mtoaji pesa ataulizwa maswali hapo benki. Sasa ulichokuwa unakataa ni nini na ulichoandika ni nini!!?Wewe unaelemishwa unaleta ujinga, nikwamba kuna mtu anataka kulipwa hela mahali anakimbia anafungua account Siku chache anataka kuingiza milioni hamsini, mwingne anaenda bank wnafungua account anaandika kipato chake Kwa mwezi ni elfu hamsini Halafu kesho yake anataka kuweka milioni sitini, mwingne anafungua account inakaaa hadi Mwaka halafu anakimbia kutaka kuweka milioni arobaini, kiufupi nikuwa mazingira ya kuwekewa hela au kutoa ndio yanayofanya mtu ahofu,
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mbona Milioni tano hela ndogo sanaNaomba ufafanuzi kwa wajuvi tafadhali;
Nasikia tetesi kwamba ukiwa na pesa ndefu kwenye Akaunti au Akaunti ikitumiwa (ikiingiziwa)au kupokea pesa ndefu mathalani kuanzia 15milion nakuendelea unafuatiliwa kujieleza na TRA?
Nasikia hususani aliyetuma akiwa mfanya biashara mkubwa pesa hiyo inashikiliwa kwa kosa la utakatishaji fedha!?
Naomba mwenye taarifa zaidi anifahamishe kabla sijaingiziwa pesa ya nyumba yangu niliyoiuza!!
Nitafurahi zaidi kama nitapewa na mwongozo unaotakiwa kuzingatiwa kisheria kabla ya kuingiziwa pesa ndefu hususani hizi pesa za malipo au hata zile za Kubet!
Colombia
We umwahinkufanya mfano ukitakankuniniankitu unaonyesha unachotaka kununua kama ni gari ardhi au nyumba unaoeleka mkataba tatizo wengi wetu batuoeleki vithibitishiNaomba ufafanuzi kwa wajuvi tafadhali;
Nasikia tetesi kwamba ukiwa na pesa ndefu kwenye Akaunti au Akaunti ikitumiwa (ikiingiziwa)au kupokea pesa ndefu mathalani kuanzia 15milion nakuendelea unafuatiliwa kujieleza na TRA?
Nasikia hususani aliyetuma akiwa mfanya biashara mkubwa pesa hiyo inashikiliwa kwa kosa la utakatishaji fedha!?
Naomba mwenye taarifa zaidi anifahamishe kabla sijaingiziwa pesa ya nyumba yangu niliyoiuza!!
Nitafurahi zaidi kama nitapewa na mwongozo unaotakiwa kuzingatiwa kisheria kabla ya kuingiziwa pesa ndefu hususani hizi pesa za malipo au hata zile za Kubet!
yani we kuzi daima huwa unaandika mavimavi!Wote USHAMBA unatusumbuwa...hakuna zaidi...VITU KAMA 15 MILIONS dola 7000 ndy pesa za kutolea maelezo?USHAMBA TYPE...
Sent using Jamii Forums mobile app
Nenda KACHAMBE kwanza....yani we kuzi daima huwa unaandika mavimavi!
una mtindio wa ubongo ama taahira ya akili...?[emoji41]
Bado hujanikera!!,,
Ukiwa na KIPANDE cha '"N NYA" unamparamia KILA MWANAMME,, KACHAMBE kwanza MKUU,,usisahau KUKALIA na MSWAKI wa MTI,,, Mimi sishughuliki na MAPUNGA wachafu kama WEWEBado hujanikera!!,,
jaribu tena!