Titicomb
JF-Expert Member
- Jan 27, 2012
- 12,823
- 21,210
Pia ujue wanotoa kwenye account zao wengi hakuna usumbufu au maswali mengi kwa pesa kama 10M kurudi chini. Shida kumuingizia mtu pesa au kupokea toka kwa mtu hasa nje ya nchi hapo hata $4000 tu yanaanza maswali.Acha kudanganya watu wewe Kama milioni 20 mtu lazima ajieleze basi bank itabaki na kazi ya kusikiliza Maelezo ya watu kuanzia asuhuhi hadi jioni maaana watu wa anaotoa 20m na kuendelea Kwa Siku ni zaidi ya watu elfu moja Kwa Siku
Sent using Jamii Forums mobile app