Tetesi: Je, ni kweli kuwa siku hizi ukifanya miamala mikubwa benki unafuatiliwa hata akaunti kushikiliwa?

Acha kudanganya watu wewe Kama milioni 20 mtu lazima ajieleze basi bank itabaki na kazi ya kusikiliza Maelezo ya watu kuanzia asuhuhi hadi jioni maaana watu wa anaotoa 20m na kuendelea Kwa Siku ni zaidi ya watu elfu moja Kwa Siku

Sent using Jamii Forums mobile app
Pia ujue wanotoa kwenye account zao wengi hakuna usumbufu au maswali mengi kwa pesa kama 10M kurudi chini. Shida kumuingizia mtu pesa au kupokea toka kwa mtu hasa nje ya nchi hapo hata $4000 tu yanaanza maswali.
 
Sisi tunaokuambia tunatoa hela kila Siku mkuu tena zaid ya 30m labda Sema wewe ulipeleka 20m Wakati Acount yako haijawahi pokes hata laki moja

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekwambia na ninarudia tena kama hujawahi kutana na kadhia hiyo kaa kimya usibishe vitu ambavyo watu vimewatokea na wanatoa ushuhuda na wewe haujawahi kutana nacho zaidi ya hapo ni upu.mbavu wako kupingana na ukweli.
 
HIVI KAMA MTU KAVUNJA KIBUBU CHAKE HILO LIPOJE?

huna tofauti na mtu anayeficha fedha, yani serikali inatoa fedha ili ziingie kwenye mzunguko alafu wewe unaficha kiasi kingi hivo kwenye kibubu aisee adhabu yake kaulize sentro!!!
 
Nimekwambia na ninarudia tena kama hujawahi kutana na kadhia hiyo kaa kimya usibishe vitu ambavyo watu vimewatokea na wanatoa ushuhuda na wewe haujawahi kutana nacho zaidi ya hapo ni upu.mbavu wako kupingana na ukweli.
Wewe unaelemishwa unaleta ujinga, nikwamba kuna mtu anataka kulipwa hela mahali anakimbia anafungua account Siku chache anataka kuingiza milioni hamsini, mwingne anaenda bank wnafungua account anaandika kipato chake Kwa mwezi ni elfu hamsini Halafu kesho yake anataka kuweka milioni sitini, mwingne anafungua account inakaaa hadi Mwaka halafu anakimbia kutaka kuweka milioni arobaini, kiufupi nikuwa mazingira ya kuwekewa hela au kutoa ndio yanayofanya mtu ahofu,

Kumbe akili unazo halafu unajifanya hutaki kuzitumia aalaaah!
Sasa ulichokuwa unakikataa kwamba hiyo haiwezekani ni kuthibitisha ubishi unaueweza ama?
 
Wewe unaelemishwa unaleta ujinga, nikwamba kuna mtu anataka kulipwa hela mahali anakimbia anafungua account Siku chache anataka kuingiza milioni hamsini, mwingne anaenda bank wnafungua account anaandika kipato chake Kwa mwezi ni elfu hamsini Halafu kesho yake anataka kuweka milioni sitini, mwingne anafungua account inakaaa hadi Mwaka halafu anakimbia kutaka kuweka milioni arobaini, kiufupi nikuwa mazingira ya kuwekewa hela au kutoa ndio yanayofanya mtu ahofu,

Sent using Jamii Forums mobile app
Haya maelezo yako yanaonesha kuwa kuna mazingira ambayo muwekaji/mtoaji pesa ataulizwa maswali hapo benki. Sasa ulichokuwa unakataa ni nini na ulichoandika ni nini!!?
 
Naomba ufafanuzi kwa wajuvi tafadhali;
Nasikia tetesi kwamba ukiwa na pesa ndefu kwenye Akaunti au Akaunti ikitumiwa (ikiingiziwa)au kupokea pesa ndefu mathalani kuanzia 15milion nakuendelea unafuatiliwa kujieleza na TRA?

Nasikia hususani aliyetuma akiwa mfanya biashara mkubwa pesa hiyo inashikiliwa kwa kosa la utakatishaji fedha!?
Naomba mwenye taarifa zaidi anifahamishe kabla sijaingiziwa pesa ya nyumba yangu niliyoiuza!!

Nitafurahi zaidi kama nitapewa na mwongozo unaotakiwa kuzingatiwa kisheria kabla ya kuingiziwa pesa ndefu hususani hizi pesa za malipo au hata zile za Kubet!
Sasa mbona Milioni tano hela ndogo sana

We umwahinkufanya mfano ukitakankuniniankitu unaonyesha unachotaka kununua kama ni gari ardhi au nyumba unaoeleka mkataba tatizo wengi wetu batuoeleki vithibitishi
 
Lakini kitengo hicho hakifuatilii kiasi kidogo cha fedha kama ulizosema M 5,hicho ni kiasi cha kawaida hata mwendesha bodaboda anaweza kuwa nacho kwenye akaunti yake.FIU wanadeal na amount ya kuanzia 50M and above,Lakini Milioni 5 ni kiasi cha kawaida kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom