kantalambaz
JF-Expert Member
- Dec 24, 2017
- 1,878
- 887
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini kitengo hicho hakifuatilii kiasi kidogo cha fedha kama ulizosema M 5,hicho ni kiasi cha kawaida hata mwendesha bodaboda anaweza kuwa nacho kwenye akaunti yake.FIU wanadeal na amount ya kuanzia 50M and above,Lakini Milioni 5 ni kiasi cha kawaida kabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Baki hapa hapa kupata ujuzi wa mambo hakuna anaejiua kesho yakoWacha wenye vijisent tupite hivi
Kuweka sio shida elewa nawe, shida wakati wakuchukuaMwaka Juzi nilienda kufungua account Bank flani hapa Dar es salaam, na at the same time nikaweka 8 millions Cash....
Sikuulizwa hata kuwa pesa nimetoa wapi..!
Nadhani kuna kiwango flani ukiweka Bank au kupokea ndo unaweza kuulizwa, may be kuanzia 30+ millions......
Kuna bank wanakataa pesa wataendeshaje shughuli zao, swala lipo ukitaka kuitoaMwaka Juzi nilienda kufungua account Bank flani hapa Dar es salaam, na at the same time nikaweka 8 millions Cash....
Sikuulizwa hata kuwa pesa nimetoa wapi..!
Nadhani kuna kiwango flani ukiweka Bank au kupokea ndo unaweza kuulizwa, may be kuanzia 30+ millions......
doooooh!!!,,wajua najua wewe ni zuzu zaidi ya hivi!Ukiwa na KIPANDE cha '"N NYA" unamparamia KILA MWANAMME,, KACHAMBE kwanza MKUU,,usisahau KUKALIA na MSWAKI wa MTI,,, Mimi sishughuliki na MAPUNGA wachafu kama WEWE
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndogo kwa nan?Acha kudanganya watu hakuna kitu km hichp 5m?? 15??? tangia lini benk ikuhoji hiyo ni pesa ndogo sn
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwhyo USHACHAMBA? ili tuendelee na MJADALAdoooooh!!!,,wajua najua wewe ni zuzu zaidi ya hivi!
onesha umahiri wako unikere kwelikweli!
anza upya!
Ni kweli kabisa kuna 7m nilitaka kutoa na ilitumwa kumi alafu ndan ya nusu SAA ndiyo nilienda kutoa toka itummwe! Yaan ilichukua lisaa mpaka aliyetuma alipigiwa simu!Huo utaratibu upo tokea zamani. Ulianzishwa kudhibiti utakatishaji wa pesa haramu (Anti Money Laundering). Ukipokea pesa kuanzia hata 5 M kama sio kawaida yako, utatakiwa utoe maelezo ya kuridhisha hizo pesa ni kwa ajili ya kitu gani. Utoe vilelezo umezipataje. Hilo ni takwa la BoT.
Sasa kwa mfano akaunti yangu wamezoea kuona mshahara unaingia mara moja, natoa ATM mara mbili tu unakata, ghafla inawekwa Milioni 10, lazima wahoji. Hapo TRA hata hawahusiki.
Ungeenda kutoa ndiyo ungejua!acheni kudanganya umma. hakuna wa kukuuliza , nimeuza toyota harrier new model this january jamaa kaingia CRBD internet banking kahamisha mzigo wa kutosha kwa accnt yangu (more than 19M) , hakuna wa kuniuliza wala jamaa hajaulizwahadi leo. ...hzo mambo za kuulizana pesa umetolea wapi ni kama unafanya transaction counter ama vp ?
All is Well
Huko juu watu wanasema iwe kuweka au kutoa.....kama ikiwa kiwango flani lazima wakuulize umezitoa wapi au unazipeleka wapi?
Ni kweli lakini inategemea na hadhi, biashara yako nk..! Inshort mtu kama Mo Dewji anaweza kutoa na kuweka zaidi ya milion 500 bila ata kuulizwa na mtu yeyote lakini kama wewe mwenzangu namimi kwenye A/C yako kuna milion 5 na miamala yako kila mwezi labda ni laki 2 au laki 3 then siku unaenda unaweka milion 50 hapo utasumbuliwa mpaka useme hiyo hela umetoa wap..! Na si Tanzania tu suala hili ata huko Ulaya wanafanya hivyo kuhofia utakatishaji wa fedha.Naomba ufafanuzi kwa wajuvi tafadhali;
Nasikia tetesi kwamba ukiwa na pesa ndefu kwenye Akaunti au Akaunti ikitumiwa (ikiingiziwa)au kupokea pesa ndefu mathalani kuanzia 15milion nakuendelea unafuatiliwa kujieleza na TRA?
Nasikia hususani aliyetuma akiwa mfanya biashara mkubwa pesa hiyo inashikiliwa kwa kosa la utakatishaji fedha!?
Naomba mwenye taarifa zaidi anifahamishe kabla sijaingiziwa pesa ya nyumba yangu niliyoiuza!!
Nitafurahi zaidi kama nitapewa na mwongozo unaotakiwa kuzingatiwa kisheria kabla ya kuingiziwa pesa ndefu hususani hizi pesa za malipo au hata zile za Kubet!