Je ni kweli kuwa wanaume wafupi wanayajua mahaba....?

Je ni kweli kuwa wanaume wafupi wanayajua mahaba....?

Wewe ni mjukuu bora zaidi. Ntayakagua matiti yako free of charge. Sawa eh mama?

Nahisi unazidiwa na majukumu ya wajukuu hadi unapoteza memory,,,lol
Maty ni mjukuu au ni mzazi mwenzio kwa MJ1?
 
Hahahahaha! Hommie umeua...

Haka kakimkamata Festiledi, kina Teamo. Bigirita na Ze Finest imekula kwao. Watabakia kuwa mateksi draivaz!

Angalia vizuri kuna kitu huja notice hapo kwenye hio picha (naore likindo linganyi)
 
Nahisi unazidiwa na majukumu ya wajukuu hadi unapoteza memory,,,lol
Maty ni mjukuu au ni mzazi mwenzio kwa MJ1?

Kosa si lako. Kosa ni langu kukuacha ukalelewa na mjombako. watoto waliolelewa na wajomba huwa hawana adabu, wanawakosoa mpaka babu zao. Mwone kwanza!
 
Nimeshangaa sana hii thread kuchangiwa na midume......
 
nasikia kwamba wanaume wafupi manayajua mapenzi na wamejaliwa mfagio wenye saizi nzuri ambao hudatisha wanawake wengi.
wanaume wafupi huwa na saizi isiyokera na pia isiyohitaji ufundi mwingi ili kutoa raha kwa mpenzi.
nijuzeni basi kama hili ni kweli ili nami nitafute wakwangu mfupi...........!

Mhhhhh hapa nadhani wadada kina rose na preta wana msaada zaidi kwako
 
Rose,zinazopinda ni za wachaga ni kwasababu ya kuvalishwa chupi za kubana tangu utotoni.wengi wao wameathirika na hili
 
Njoo huku basi darly tujipange,maana no more mizengwe from the so called Babu Matiti
Okay okay we ukiwa tayari uni :A S 100: then nipite hapo ni :car: twende tuka do the nidfull :tea:weekend ndo ishaanza ivyoo....:bump:
 
Kosa si lako. Kosa ni langu kukuacha ukalelewa na mjombako. watoto waliolelewa na wajomba huwa hawana adabu, wanawakosoa mpaka babu zao. Mwone kwanza!

Nimecheka mpaka najiona kituko!!!kweli Babu tunae
Halafu nimerudi nyumbani badala unilee kidogo nirekebishe tabia tayari ushanikabidhi!!!
 
Back
Top Bottom