... kupata watoto/kuendeleza kizazi sio jambo la mzaha lazima maandalizi yawepo hata wanyama wanajua hilo.Ni kweli kabisa wanyama na hata ndege pia huhama makazi ili kwenda kupata watoto kutokana na hali ya hewa na utafutaji wa chakula kama majani, maji na wadudu kwa ajili ya mbegu mpya FACT
Baadhi ya ndege husafiri maili nyingi sana
View attachment 1774895
Hiki Ni kweli ndiyo ile world greatest wildebeest migration. Yakadiriwa wanyama Milion 20 huvuka mto Mara kati ya mwezi Julai na August kutoka Serengeti kwenda Masai Mara kutafuta maji na malisho. Na hurudi Tanzania mwezi NovemberWana jamvi mwaendeleaje wanangu? Katika hotuba kwa bunge na seneti la Kenya, rais SSH alikaririwa akisema eti wanyama wa Tanzania huenda kupandwa na kupata mimba Kenya na kuzalia Tanzania. Unaitafsirije kauli hii ambayo inaweza kuzua utata hata udume, ujike na kudharauliana? Je wanyama wa Kenya wakija Tanzania hawapati mimba? Kunani SSH anawapa zaidi wastahilicho wakenya?
Kwa upana zaidi wa hii statement, Rais katuaibisha sana wanaume wa Tz.Wana jamvi mwaendeleaje wanangu? Katika hotuba kwa bunge na seneti la Kenya, rais SSH alikaririwa akisema eti wanyama wa Tanzania huenda kupandwa na kupata mimba Kenya na kuzalia Tanzania. Unaitafsirije kauli hii ambayo inaweza kuzua utata hata udume, ujike na kudharauliana? Je wanyama wa Kenya wakija Tanzania hawapati mimba? Kunani SSH anawapa zaidi wastahilicho wakenya?
Hujui impacy yake mkuuKilikuwa kibwagizo tu kile!
Mimi naona kuna shida kwenye uwezo wa kuchambua mambo muhimu ya Taifa. Kwani hayo wanyama wana uraia?Wanajamvi mwaendeleaje wanangu?
Katika hotuba kwa Bunge na Seneti la Kenya, Rais Samia Suluhu alikaririwa akisema eti Wanyama wa Tanzania huenda kupandwa na kupata mimba Kenya na kuzalia Tanzania.
Unaitafsirije kauli hii ambayo inaweza kuzua utata hata udume, ujike na kudharauliana?
Je, Wanyama wa Kenya wakija Tanzania hawapati mimba?
Kunani Rais Samia anawapa zaidi wastahilicho Wakenya?
Ajibu aliowaona wakifanya hivyo! Kwani hao wanyama wana uraia?Wanaenda kupigwa "pipe"Kenya wanarudi kuzalia Bongo. Freshi tu hamna noma,Kwani wao wanyama wanasemaje?
Nina wasiwasi na uwezo wa kupambambanua na kuchambua mambo wa Rais wetu!Ufafanuzi ndio huo..unataka ufafanuzi gani Tena?! Nyumbu wanakwenda Kenya kudungwa Mimba na wanarudu TZ kuzaa...interesting...lakini pengine ingewekwa hivi: wanyama hao wanakwenda Kenya wanafanyana huko na wakirudi TZ wanazaa...ukisema kuwa wanakwenda Kenya kudungwa Mimba it is as if midume iko huko Kenya inasubiri majike kutoka TZ na kuyadunga Mimba....katika siasa you have to be very careful with words...anyway that (by our Mama) was with a light touch...ππππ
Yawezekana kipindi baadhi wanyama wanapohamia Kenya ndio kipindi cha kuzaliana.ni vitu vinavyowezekana.fuatilia sana habari za wanyama utapata jibu.Wanajamvi mwaendeleaje wanangu?
Katika hotuba kwa Bunge na Seneti la Kenya, Rais Samia Suluhu alikaririwa akisema eti Wanyama wa Tanzania huenda kupandwa na kupata mimba Kenya na kuzalia Tanzania.
Unaitafsirije kauli hii ambayo inaweza kuzua utata hata udume, ujike na kudharauliana?
Je, Wanyama wa Kenya wakija Tanzania hawapati mimba?
Kunani Rais Samia anawapa zaidi wastahilicho Wakenya?
Inabidi uwe mpole tuππππNina wasiwasi na uwezo wa kupambambanua na kuchambua mambo wa Rais wetu!
ππKwa upana zaidi wa hii statement, rais katuaibisha sana wanaume wa Tz.
kwani kulikua na kasoro gani angesema hao wanyama wanakuja kugongwa tz na kwenda kuzalia kenya?
kawapa wanaume wakenya silaha ya kututania..
πππ
MK254
Kipi cha ajabu hapo?Wanajamvi mwaendeleaje wanangu?
Katika hotuba kwa Bunge na Seneti la Kenya, Rais Samia Suluhu alikaririwa akisema eti Wanyama wa Tanzania huenda kupandwa na kupata mimba Kenya na kuzalia Tanzania.
Unaitafsirije kauli hii ambayo inaweza kuzua utata hata udume, ujike na kudharauliana?
Je, Wanyama wa Kenya wakija Tanzania hawapati mimba?
Kunani Rais Samia anawapa zaidi wastahilicho Wakenya?
Sio wanyama tu hata ndege na samaki wa bahari ya HindiWanajamvi mwaendeleaje wanangu?
Katika hotuba kwa Bunge na Seneti la Kenya, Rais Samia Suluhu alikaririwa akisema eti Wanyama wa Tanzania huenda kupandwa na kupata mimba Kenya na kuzalia Tanzania.
Unaitafsirije kauli hii ambayo inaweza kuzua utata hata udume, ujike na kudharauliana?
Je, Wanyama wa Kenya wakija Tanzania hawapati mimba?
Kunani Rais Samia anawapa zaidi wastahilicho Wakenya?
Ni utaratibu wa kila mwaka ambapo nyumbu uhama kwenda Kenya wakisha beba mimba hurudi kuzalia Serengeti, ( kusini mwa Serengeti) soma kuhusu Wilderbeest migration.Wanajamvi mwaendeleaje wanangu?
Katika hotuba kwa Bunge na Seneti la Kenya, Rais Samia Suluhu alikaririwa akisema eti Wanyama wa Tanzania huenda kupandwa na kupata mimba Kenya na kuzalia Tanzania.
Unaitafsirije kauli hii ambayo inaweza kuzua utata hata udume, ujike na kudharauliana?
Je, Wanyama wa Kenya wakija Tanzania hawapati mimba?
Kunani Rais Samia anawapa zaidi wastahilicho Wakenya?
... kupata watoto/kuendeleza kizazi sio jambo la mzaha lazima maandalizi yawepo hata wanyama wanajua hilo.
[emoji848] na wakishazaa wanazaa majike tu au..Wanyama wanapandana (mating)kwa msimu, basi msimu huu unakuwa baada ya migration kutoka TZ kwenda Kenya, na warudipo wana mimba. Ndio maana Tz kuna wanyama wengi zaidi ya kenya. Pia hao wanyama wanaopandana ni wakewale waliovuka pamoja