Je, ni kweli kuwa Wanyama wa Tanzania huenda kupata mimba Kenya kama alivyosema Rais Samia?

Je, ni kweli kuwa Wanyama wa Tanzania huenda kupata mimba Kenya kama alivyosema Rais Samia?

Ni kweli kabisa wanyama na hata ndege pia huhama makazi ili kwenda kupata watoto kutokana na hali ya hewa na utafutaji wa chakula kama majani, maji na wadudu kwa ajili ya mbegu mpya FACT

Baadhi ya ndege husafiri maili nyingi sana
View attachment 1774895
... kupata watoto/kuendeleza kizazi sio jambo la mzaha lazima maandalizi yawepo hata wanyama wanajua hilo.
 
Wana jamvi mwaendeleaje wanangu? Katika hotuba kwa bunge na seneti la Kenya, rais SSH alikaririwa akisema eti wanyama wa Tanzania huenda kupandwa na kupata mimba Kenya na kuzalia Tanzania. Unaitafsirije kauli hii ambayo inaweza kuzua utata hata udume, ujike na kudharauliana? Je wanyama wa Kenya wakija Tanzania hawapati mimba? Kunani SSH anawapa zaidi wastahilicho wakenya?
Hiki Ni kweli ndiyo ile world greatest wildebeest migration. Yakadiriwa wanyama Milion 20 huvuka mto Mara kati ya mwezi Julai na August kutoka Serengeti kwenda Masai Mara kutafuta maji na malisho. Na hurudi Tanzania mwezi November

Hata flamingo nao huja lake Natron kwa msimu fulani wanafanya mating, the wanaondoka kwenda kuzakua elsewhere
 
Wana jamvi mwaendeleaje wanangu? Katika hotuba kwa bunge na seneti la Kenya, rais SSH alikaririwa akisema eti wanyama wa Tanzania huenda kupandwa na kupata mimba Kenya na kuzalia Tanzania. Unaitafsirije kauli hii ambayo inaweza kuzua utata hata udume, ujike na kudharauliana? Je wanyama wa Kenya wakija Tanzania hawapati mimba? Kunani SSH anawapa zaidi wastahilicho wakenya?
Kwa upana zaidi wa hii statement, Rais katuaibisha sana wanaume wa Tz.
kwani kulikua na kasoro gani angesema hao wanyama wanakuja kugongwa tz na kwenda kuzalia kenya?
kawapa wanaume wakenya silaha ya kututania..
😀😀😀
MK254
 
Wanajamvi mwaendeleaje wanangu?

Katika hotuba kwa Bunge na Seneti la Kenya, Rais Samia Suluhu alikaririwa akisema eti Wanyama wa Tanzania huenda kupandwa na kupata mimba Kenya na kuzalia Tanzania.

Unaitafsirije kauli hii ambayo inaweza kuzua utata hata udume, ujike na kudharauliana?

Je, Wanyama wa Kenya wakija Tanzania hawapati mimba?

Kunani Rais Samia anawapa zaidi wastahilicho Wakenya?
Mimi naona kuna shida kwenye uwezo wa kuchambua mambo muhimu ya Taifa. Kwani hayo wanyama wana uraia?
 
Ufafanuzi ndio huo..unataka ufafanuzi gani Tena?! Nyumbu wanakwenda Kenya kudungwa Mimba na wanarudu TZ kuzaa...interesting...lakini pengine ingewekwa hivi: wanyama hao wanakwenda Kenya wanafanyana huko na wakirudi TZ wanazaa...ukisema kuwa wanakwenda Kenya kudungwa Mimba it is as if midume iko huko Kenya inasubiri majike kutoka TZ na kuyadunga Mimba....katika siasa you have to be very careful with words...anyway that (by our Mama) was with a light touch...😂😀😂😀
Nina wasiwasi na uwezo wa kupambambanua na kuchambua mambo wa Rais wetu!
 
Je! ni kweli wanyama wa Tanzania wanakwenda kupata mimba.

Hapa naomba nizungumze juu ya makundi ya wanyama wawili ambao ni Nyumbu (wildabeest) na Pundamilia (Zebra) ambao wanaishi ndani ya Hifadhi ya Serengeti (Serengeti Migration)

SERENGETI MIGRATION
Hili ni kundi kubwa la Nyumbu (wildabeest) wapatao 3Mil pamoja na Zebra 2Mil wanaoshi pamoja na kufanya safari zao pamoja.
Kwanzia mwishoni mwa mwezi wa 12 makundi haya mawili huwa yamewasili eneo la kusini mwa Serengeti ambapo kuna tambarare kubwa na nyasi fupi zenye kiwango cha kutosha cha Madini ya calcium (kwa ajili ya maziwa ). Makundi haya hulitumia eneo hilo kwa muda wa miezi 4 kwa ajili ya kuzaa watoto (breeding season) ifikapo mwezi Mach makundi haya huwa wameshamaliza uzazi na kuanza safari ya kwenda North Serengeti ready for crossing Mara River entering to Masai Mara Np in Kenya.
Kitendo cha kuvuka mto Mara huwa kinaanza mwezi wa 8 na 9 kisha mwezi wa 10 huvuka tena kurudi Serengeti Tanzania

GESTATION PERIOD
Wanyama hawa hubeba mimba kwa siku 217 mpaka miezi 4 na nusu.
Hapo utaona kuwa mimba hutungwa mwezi wa 8 na tisa (hutungiwa Kenya). Vile vile huzaa kwanzia mwezi wa 1 na 2 (Huzalia Tanzania)

Makundi haya huishi na kusafiri pamoja Madume na majike. Kimsingi hawaendi Kenya kutafuta Madume bali hukimbia kiangazi Kikali kinachopatikana ndani ya Hifadhi ya Serengeti mwezi wa 8 na 9.

Madame Samia yupo sahihi na anaelewa mambo kwa kina na wala sio mtu wa kukariri mambo na namba kama .........

Kenya kuna UHURU Tanzania tuna SULUHU sasa ushindwe mwenyewe
 
Kwahio Lodge na Guest za wanyama wetu ziko maeneo ya Kenya au sio 😂😂😂!!
Ila hospitali za kujifungua ziko Tanzania, inapendeza sana!
 
Wanajamvi mwaendeleaje wanangu?

Katika hotuba kwa Bunge na Seneti la Kenya, Rais Samia Suluhu alikaririwa akisema eti Wanyama wa Tanzania huenda kupandwa na kupata mimba Kenya na kuzalia Tanzania.

Unaitafsirije kauli hii ambayo inaweza kuzua utata hata udume, ujike na kudharauliana?

Je, Wanyama wa Kenya wakija Tanzania hawapati mimba?

Kunani Rais Samia anawapa zaidi wastahilicho Wakenya?
Yawezekana kipindi baadhi wanyama wanapohamia Kenya ndio kipindi cha kuzaliana.ni vitu vinavyowezekana.fuatilia sana habari za wanyama utapata jibu.
 
Tanzania kwa sasa ni Ke (kwa sababu Rais ni ke).

Kenya ni me.

Ukute Rais wetu kawaza Kama hivyo juu.
 
Kwa upana zaidi wa hii statement, rais katuaibisha sana wanaume wa Tz.
kwani kulikua na kasoro gani angesema hao wanyama wanakuja kugongwa tz na kwenda kuzalia kenya?
kawapa wanaume wakenya silaha ya kututania..
😀😀😀
MK254
😆😁
Hapana bana, hatujazalilishwa.
Hapo Kenya hutumika kama Guest House tu, yani hao wanyama wanaishi Tanzania kwa maisha yao yote ila mwezi mmoja kila mwaka Huenda kenya for honeymoon kisha kurudi Tanzania.

Mama yupo vizuri sana kwa Tamathali za semi ila ukiwa mwepesi kichwani anakuacha mtupu
 
Wanajamvi mwaendeleaje wanangu?

Katika hotuba kwa Bunge na Seneti la Kenya, Rais Samia Suluhu alikaririwa akisema eti Wanyama wa Tanzania huenda kupandwa na kupata mimba Kenya na kuzalia Tanzania.

Unaitafsirije kauli hii ambayo inaweza kuzua utata hata udume, ujike na kudharauliana?

Je, Wanyama wa Kenya wakija Tanzania hawapati mimba?

Kunani Rais Samia anawapa zaidi wastahilicho Wakenya?
Kipi cha ajabu hapo?
 
Sio wanyama tu hata ndege na samaki wa bahari ya Hindi
 
Wanajamvi mwaendeleaje wanangu?

Katika hotuba kwa Bunge na Seneti la Kenya, Rais Samia Suluhu alikaririwa akisema eti Wanyama wa Tanzania huenda kupandwa na kupata mimba Kenya na kuzalia Tanzania.

Unaitafsirije kauli hii ambayo inaweza kuzua utata hata udume, ujike na kudharauliana?

Je, Wanyama wa Kenya wakija Tanzania hawapati mimba?

Kunani Rais Samia anawapa zaidi wastahilicho Wakenya?
Ni utaratibu wa kila mwaka ambapo nyumbu uhama kwenda Kenya wakisha beba mimba hurudi kuzalia Serengeti, ( kusini mwa Serengeti) soma kuhusu Wilderbeest migration.
 
Wanyama wanapandana (mating)kwa msimu, basi msimu huu unakuwa baada ya migration kutoka TZ kwenda Kenya, na warudipo wana mimba. Ndio maana Tz kuna wanyama wengi zaidi ya kenya. Pia hao wanyama wanaopandana ni wakewale waliovuka pamoja
[emoji848] na wakishazaa wanazaa majike tu au..
 
Back
Top Bottom