Je, ni kweli kuwa Wanyama wa Tanzania huenda kupata mimba Kenya kama alivyosema Rais Samia?

[emoji848] na wakishazaa wanazaa majike tu au..
... hapana; wanahama na madume kwenda kupandana Kenya kisha wanarudi. Nadhani huko (Kenya) kuna mandhari nzuri zaidi ya mating kuliko upande huu ambako nako kuna mandhari nzuri zaidi ya kuzalia na kulea vichanga. In short "guest" nzuri za wanyamapori ziko Kenya!
 
Asante Mhifadhi kwa ufafanuzi
 
... breeding season ni kipindi wakiwa Kenya; Rais yuko sahihi japo haina maana wakiwa Tanzania hawapandani; la hasha but majority of matings occur in Kenya. Hiyo ni nature na hakuna wa kuibadilisha hata kama tusingependa iwe hivyo!
dudus mambo ya Kogatende kichwa Tembo.....hahaha
 
[emoji2][emoji2][emoji2] kwani the real Eden si ndo iko Bongo tz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…