Tetesi: Je, ni kweli kwamba ndege ya ATCL, Boeing 787-8 Dreamliner haina Insurance?

Tetesi: Je, ni kweli kwamba ndege ya ATCL, Boeing 787-8 Dreamliner haina Insurance?

Status
Not open for further replies.
Hizi ni hisia zako wewe mwenyewe na unaonyesha kiasi cha ujinga uliokujaa kichwani.....ndege hazina insurance hayo mengine ni upumbavu wako hayaongelewi humu......jibu hoja acha kujipaka mavi.
Ndugu kwanini unajaa upepo sana ktk kujibu comment ya mtu? Mtu mwenyewe hata humjui. Hivi kulikuwa kuna haja ya kuandika neno m@√i? Punguza hasira ndugu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ilifanyie lile zoezi la uhakiki wa vyeti liwe endelevu bado hata mitandaoni kuna vilaza.....ATCL ndio wanatakiwe waje na vielelezo vyao watuonyesha sio sisi tuwape vielelezo hapana....hili ni kosa dhidi ya uhai wa binadamu na ni uhujumu uchumi maana hizi ndege ni mali ya Watanzania woooote so waliopewa dhamana waje wakanushe tuhuma hizi tena haraka sana.[

QUOTE="Pohamba, post: 30761039, member: 293163"]Wakitoa ufafanuzi bila ya ushahidi Na wao utaamini
Wakisema 'Si kweli' utakubali utetezi wao Au utalazimisha waweke ushahdi?[/QUOTE]
 
Hizi ni hisia zako wewe mwenyewe na unaonyesha kiasi cha ujinga uliokujaa kichwani.....ndege hazina insurance hayo mengine ni upumbavu wako hayaongelewi humu......jibu hoja acha kujipaka mavi.
Sasa ulihitaji yuwe tunaattach upumbavu mnaoongea mkiongozwa na mwenyekiti wenu? Ni watu wa kurukia kila jambo hili mnaliongea kuwa ndio la msingi kesho mnapiga sarakasi kuwa si la msingi kuna uhayawani kama huu mlionao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wapwa wapo wengi humu ndani.....yule mpwa wa ITIGI (DED-ITIGI)naye juzi alikuwa analalamika kesi ya mauaji dhidi yake imechelewa kutolewa maamuzi......hiki ni kizazi cha panya kila kitu mbio mbio tu....ATCL waje wapinge kidogo.....ili ukweli uanikwe hadharani:/WAPWA hizi ndege sio za mjomba wenu JIWE ni mali halali ya watanzania acheni ubishi wa kishamba
Mtoa kaona Twitter tu hajui chochote kile kuhusu maswala ya usafir wa anga
Tunachoomba tuletee ushahid wote na hzo documnt zilizo kuwa cancelled na lini zilikuwa cancelled na sababu zipi zilifanya kuwa cancelled?

Intelligent people are full of dou..... While stupid people are full of confidence.

Usilete hoja kwa mahaba leta hoja kama great thinker tumia ubongo wako kuwa fikirish kabla hujaleta post ukiwa na key evidence zote.sio watuhumiwa waje akane ndio upate cha kuongea.

Huo utabir wenu wa ramli hauwez fanikiwa labda labda kwa mjinga asiejua investigation inakuwaje na conclusion ya investigation inakuwaje
 
wewe ndiyo taahira kuliko wapwa wote.......wewe unataka mleta mada awafanyie shambulio la aibu hawa ATCL...mambo hayaendi hivyo....mnataka ushahidi utolewe kabla ili ATCL waupinge huo ushahidi....hapa ni hoja kwa hoja!
kuna mambo mengine lazima utoe proof ya tuhuma kwanza kabla muhusika aje kujibu tuhuma.kwani wakuu mtu aki kutuhumu kuwa unajinsia mbili,akwambie kama unabisha ntakuumbua.Je utavua nguo kumprove wrong?kama unanituhumu,leta ushahidi ili nipinge ushahidi wako,sio nipinge maneno bila ushahidi.Tukubali kuwa vitu vingine lazima viende ki taalamu.Huwez kuwa unajibu kila neno mtu asemalo bila kuleta ushahidi.
 
wapwa wapo wengi humu ndani.....yule mpwa wa ITIGI (DED-ITIGI)naye juzi alikuwa analalamika kesi ya mauaji dhidi yake imechelewa kutolewa maamuzi......hiki ni kizazi cha panya kila kitu mbio mbio tu....ATCL waje wapinge kidogo.....ili ukweli uanikwe hadharani:/WAPWA hizi ndege sio za mjomba wenu JIWE ni mali halali ya watanzania acheni ubishi wa kishamba
Leta habar ikiwa imekamilika sio kupiga ramli
 
Mbona iko very open, kama kuna cover note na wamelipa, si wanaonyesha ushahidi na mambo yanakwenda? Dhambi iko wapi? Ugomvi ni wa nini?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom