Tetesi: Je, ni kweli kwamba ndege ya ATCL, Boeing 787-8 Dreamliner haina Insurance?

Status
Not open for further replies.
Hizi ni hisia zako wewe mwenyewe na unaonyesha kiasi cha ujinga uliokujaa kichwani.....ndege hazina insurance hayo mengine ni upumbavu wako hayaongelewi humu......jibu hoja acha kujipaka mavi.
Ndugu kwanini unajaa upepo sana ktk kujibu comment ya mtu? Mtu mwenyewe hata humjui. Hivi kulikuwa kuna haja ya kuandika neno m@√i? Punguza hasira ndugu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali ilifanyie lile zoezi la uhakiki wa vyeti liwe endelevu bado hata mitandaoni kuna vilaza.....ATCL ndio wanatakiwe waje na vielelezo vyao watuonyesha sio sisi tuwape vielelezo hapana....hili ni kosa dhidi ya uhai wa binadamu na ni uhujumu uchumi maana hizi ndege ni mali ya Watanzania woooote so waliopewa dhamana waje wakanushe tuhuma hizi tena haraka sana.[

QUOTE="Pohamba, post: 30761039, member: 293163"]Wakitoa ufafanuzi bila ya ushahidi Na wao utaamini
Wakisema 'Si kweli' utakubali utetezi wao Au utalazimisha waweke ushahdi?[/QUOTE]
 
Hizi ni hisia zako wewe mwenyewe na unaonyesha kiasi cha ujinga uliokujaa kichwani.....ndege hazina insurance hayo mengine ni upumbavu wako hayaongelewi humu......jibu hoja acha kujipaka mavi.
Sasa ulihitaji yuwe tunaattach upumbavu mnaoongea mkiongozwa na mwenyekiti wenu? Ni watu wa kurukia kila jambo hili mnaliongea kuwa ndio la msingi kesho mnapiga sarakasi kuwa si la msingi kuna uhayawani kama huu mlionao?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wapwa wapo wengi humu ndani.....yule mpwa wa ITIGI (DED-ITIGI)naye juzi alikuwa analalamika kesi ya mauaji dhidi yake imechelewa kutolewa maamuzi......hiki ni kizazi cha panya kila kitu mbio mbio tu....ATCL waje wapinge kidogo.....ili ukweli uanikwe hadharani:/WAPWA hizi ndege sio za mjomba wenu JIWE ni mali halali ya watanzania acheni ubishi wa kishamba
 
wewe ndiyo taahira kuliko wapwa wote.......wewe unataka mleta mada awafanyie shambulio la aibu hawa ATCL...mambo hayaendi hivyo....mnataka ushahidi utolewe kabla ili ATCL waupinge huo ushahidi....hapa ni hoja kwa hoja!
 
Leta habar ikiwa imekamilika sio kupiga ramli
 
Mbona iko very open, kama kuna cover note na wamelipa, si wanaonyesha ushahidi na mambo yanakwenda? Dhambi iko wapi? Ugomvi ni wa nini?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…