Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Hili ni swali tu ni wajibu wetu kutafuta majibu sahihi na taarifa sahihi kwa ajili ya usalama wetu na wa vizazi vijavyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
USHAHIDI UPO MKUU??
Ukiwa fukara wa kipato na akili unaletewa kila kitu.USHAHIDI UPO MKUU??NA KAMA NI KWELI BASI WAAFRIKA SISI NI WAPUMBAVU SANA. KAMA TUMEROGWA
Tulisema mimi na nani? Nilisemea wapi?Matumizi ya simu mlisema INA miale ya kuua kizazi!
5G MLISEMA INAUA KIZAZI!
ARVs mlisema zinaua kizazi!
Broilers mlisema....
Mayai ya kisasa....
CHANJO YA CORONA mlisema zinaua kizazi
ILA YOTE MLIBANA MKAACHIA.
GMO haina ujanja tutatumia tu!
Nikiwa sokoni ntatambuaje kwamba hii bidhaa ni organic na sio GMO?Jiulize kwanini GMO produtcs bei iko chini kuliko zile organic? Lazima tuanzie hapo na kwa nini GMO products hula maskini wakati zile Organic wanataka wale matajiri au wenye uwezo na sina hakika kama mwanasiasa anayehubiri ule GMO products kama yeye anazitumia na nakumbuka serikali yetu ilipinga na kusema mbegu zetu tutazalisha wenyewe kama sijasahau
Vipi viodonge mkuu vilivuo jazana Hospitalini? Usha wahi lalamika? Hizo GMO mbona mbona kwao wanakula?Hili ni swali tu ni wajibu wetu kutafuta majibu sahihi na taarifa sahihi kwa ajili ya usalama wetu na wa vizazi vijavyo.
GMO ni nini?
Ni kiumbe chochote kilicho hai ambacho vinasaba vyake (DNA) vimebadilishwa kwa kutumia uhandisi jeni. Hii inaweza kuwa mmea, mnyama (pamoja na wanadamu) au bakteria na kwa kawaida hufanywa ili kutambulisha sifa inayohitajika katika kiumbe, kama vile matunda makubwa au kustahimili ukame
View attachment 2396311View attachment 2396312View attachment 2396313View attachment 2396316View attachment 2396317
Je madawa Hospitalini yenyewe ni salama? Tuanzie hapo kwanzaKatika miaka ya hivi karibuni Watanzania tumekua tukisikia kuhusu swala la kuwekeza katika kilimo ambacho wanasiasa wanakiita "KILIMO CHA KISASA" ambacho kinahusisha utumiaji wa mbegu ambazo ni Genetically Modified. Lakini ni nini hasa maana ya GMO?, Je ni salama kwa kula?.
GMO ni aina ya mbegu na mimea ambayo imebadilishwa vinasaba (genes) katika maabara ili kuboresha aina fulani ya traits au tabia inayohitajika, kwa mfano kuongeza virutubisho, na kuongeza uwezo wa kujikinga na madawa.
Marekani ndio inaongoza kwa utengenezaji wa aina hii ya mbegu zikizambazwa na makampuni kama Monsanto, Syngenta AG, na DOW Chemicals ambazo nyingi tumekua tukiziona nchini. Hatari zitokanazo na aina hii ya mimea ni nyingi kuliko faida, na nchi nyingi duniani tayari zimezuia matumizi ya aina hii ya mbegu ikiwemo Canada, Argentina, Australia, India na Mexico na msimamo wa EU Ukiwa "Zuia GMO".
Nilibahatika kukaa na msomi mmoja wa Chuo Kikuu Cha elimu ya juu cha Nelson Mandela na akanitajia baadhi tu ya athari nyingi zikiwemo; Kuharibu mfumo wa ikolojia, kuharibu ama kubadilisha kabisa virutubisho katika mimea, Kansa, kuharibu rutuba ya ardhi na kusababisha wakulima kua tegemezi wa madawa ya kilimo, kujitokeza kwa magugu ambayo yanajikinga na madawa ya kuua magugu, na hasara kwa wakulima kutokana na ununuzi wa kiasi kikubwa cha madawa.
Faida chache alizonitajia ni pamoja na ongezeko la mimea inatojikinga na wadudu na magonjwa, kuongezeka kwa food supply, na kua na mimea inayostahimili ukame. Pia aliniambia "Hakuna Mwanasayansi duniani ambaye yuko serious atakayetoa support kwa GMO, UNLESS yuko katika payroll ya hayo makampuni", kwa sababu kiuhalisia, ni makampuni ya Biotech ambao ndio watengenezaji na wasambazaji watakaonufaika kutokana na mauzo ya mbegu na madawa!
Swali la kujiuliza; Je ni Watanzania wangapi wanazijua athari zitokanazo na GMO's?, au wengi wetu tumeangalia faida za kiuchumi kuliko athari za kimaziangira na kiafya?. TUAMKE NDUGU ZANGU
Sehemu Ya mbegu ni nyama tupu? Uchawi huu jamaniMimi nilipoona kuwa sasahv kuna parachichi ambazo hazina kabisa mbegu na zinalimwa Tanzania nikaogopa sana. Kama sio kumjaribu Mungu ni nini
View attachment 2396342