Je, ni kweli kwamba vyakula vya mbegu vya GMO viko kwa ajili ya kuua kizazi cha watu weusi?

Je, ni kweli kwamba vyakula vya mbegu vya GMO viko kwa ajili ya kuua kizazi cha watu weusi?

Dah! Lahaullah! Alafu kwao ndio wanalima zaidi ya huku kwetu! Ila inatisha unapokutana na chungwa, pera au embe ndani halina mbegu au kokwa! Ukalila ukitegemea na ww ukatoe Mbegu thubutu!
Hapo lazima upigwe na kitu kizito cha low sperms count
 
Nikiwa sokoni ntatambuaje kwamba hii bidhaa ni organic na sio GMO?
Sasa unatupa shida ya kukuelekeza. Kama haujui bidhaa za asili zinamuonekano upi utakuwa na wakati mgumu sana kujua hizi za kisasa yaani GMO zinamuonekano gani.

Mfano ni kama gari, kama haujui model za zamani au awali hautaweza tambua model mpya maana hauzijui.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umasikini wa akili ni mbaya sana...

Mleta mada ana tatizo...
Muda mwingine muwe mnakaa kimya ili kujiepusha na aibu ndogo ndogo kama hizi.

Hivi umeshawahi kujiuliza kwann Western countries especially USA wanasumbuliwa sana na kansa tena kwa kiwango kikali sana, na kwann Africa, Asia na Middle Eastern countries wana experience kiwango kidogo sana cha kansa?!

Umeshawahi kuhoji kwann mbegu za kisasa ikishazaa matunda mbegu hazioteshi tena, kwann hazina maisha ndani ya mbegu changa?!

Haujawahi jiuliza hatima ya taifa lako imetokea tunatumia 100% ya GMO kesho na keshokutwa mataifa ya magharibi wakagoma kusaidia tena na pembejeo za kilimo ikiwamo mbolea, dawa za wadudu na hata mbegu, hali ya chakula itakuwaje?!

Nadhani unalazimisha kujiona ni mwerevu ila kiukweli hauna ufahamu wa mambo (lack of exposure) na uko hapa kuprove hilo kwa hoja hafifu kama kumwambia mleta mada anasumbuliwa na umasikini wa akili ile hali ni wewe ndie mwenye uhaba wa akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
View attachment 2396383

View attachment 2396387

View attachment 2396386
Ulivyokuwa kilaza unashare links katika vyanzo vya habari vya watu hao hao. Soma vema kilichoandikwa mleta mada amelisema hili la kutumika kwa vyombo vya habari vya magharibi kupamba na kusugarcoat madhara ya hizi mbegu za kisasa.

BBC ni chombo cha taifa gani?! Au hayo maneno Swahili ndio yamekuchanganya?!

Kimsingi hakuna ulichosaidia umepuyanga tu. Ndio yale yale yamesemwa kuwa ni kukosekana kwa uelewa wa mambo ndio maana haya mataifa ya magharibi yanafanikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vipi viodonge mkuu vilivuo jazana Hospitalini? Usha wahi lalamika? Hizo GMO mbona mbona kwao wanakula?
Hivi ndio namna umeamua kubalance equation kwa kuhoji swala la kizembe kuliko lolote.

So mfano kuna mwanamke anataka kukuua ili arithi mali zako, yeye kulala na wewe akijinasibu kukupenda inatosha kukupa uhakika kuwa upo salama mikononi mwake sababu tu unamla?!

Kama unajua matumizi ya logic (mantiki) huo mfano wangu utauelewa vizuri sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Chillah,
Ndg.kuna wanasayansi wachache wanaolipwa kwenye miradi inayofadhiliwa na hayo makampuni ndo wanaopigia upatu GMO kwa Tanzania mf. Dr. Kulaya amestaafu ARI Mikocheni na Dr. Roshani Abdallah atakuwa amestaafu TPRI Arusha. Kifupi Mh. RAIS Jakaya Kikwete alikataa kuridhia mpango wa kubadilisha kinachoitwa strictly liability ambacho ni kipengele kilichokuwa kinataka kuwanusuru pro GMO kama madhara yatajitokeza kutokana na GMO. Kifupi GMO kwa Tanzania na Afrika kwa ujumla haifai
Kaka tafiti ina pingwa na tafiti, hakuna wanasayansi walio fnya tafiti na kuona tatizo lilipo

Na hayo makampuni yana karibisha watu kufanya tafiti na wana kulipa pesa ufanye tafiti kuhusu gmo na hata kwenye maabara zao wana kukaribisha

Na baadhi kutoka tanzania wameenda ktk hayo mashamba yao na maabara zao

Kama una lia wana lipwa na ushahidi unao weka wazi jamii ijue na sio kusema zina madhara lakini hakuna tafiti iliyofanyika kuona madhara yalipo
 
Ulivyokuwa kilaza unashare links katika vyanzo vya habari vya watu hao hao. Soma vema kilichoandikwa mleta mada amelisema hili la kutumika kwa vyombo vya habari vya magharibi kupamba na kusugarcoat madhara ya hizi mbegu za kisasa.

BBC ni chombo cha taifa gani?! Au hayo maneno Swahili ndio yamekuchanganya?!

Kimsingi hakuna ulichosaidia umepuyanga tu. Ndio yale yale yamesemwa kuwa ni kukosekana kwa uelewa wa mambo ndio maana haya mataifa ya magharibi yanafanikiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe mwelevu leta chanzo chako sahihi...

Leta tafiti yako kuonesha itilafu au tatizo lilipo

Sasa mimi na wewe nani kilaza? Hayo makampuni yana kukalibisha ukafanye tafiti

NA ulivyo kilaza hata ujui walicho modifai ni nini, waulize walio bahatika kufanya hizo tafiti na walio bahatika kwenda kuona kinacho fanyika

Kinacho pingwa ni wao kuhodhi soko na mali na sisi kuwa tegemezi na masharti lukuki ya kinyonyaji na ndio maana nchi nyingi hawa zitaki na sio sababu hiyo yako

Hakuna taifa lipo tayari raia wake wafe kisa GMO au sumu...

Kenya wana kubali kulima mahindi ya GMO... leo una taka kusema kenya baada ya miaka kadhaa hakuna ata jiwe wala kifuu kitakacho bakia?

Wewe mwelevu kafanye tafiti uje nayo hapa kuhusu GMO
 
Niliwahi kuandika

Muda mwingine muwe mnakaa kimya ili kujiepusha na aibu ndogo ndogo kama hizi.

Hivi umeshawahi kujiuliza kwann Western countries especially USA wanasumbuliwa sana na kansa tena kwa kiwango kikali sana, na kwann Africa, Asia na Middle Eastern countries wana experience kiwango kidogo sana cha kansa?!

Umeshawahi kuhoji kwann mbegu za kisasa ikishazaa matunda mbegu hazioteshi tena, kwann hazina maisha ndani ya mbegu changa?!

Haujawahi jiuliza hatima ya taifa lako imetokea tunatumia 100% ya GMO kesho na keshokutwa mataifa ya magharibi wakagoma kusaidia tena na pembejeo za kilimo ikiwamo mbolea, dawa za wadudu na hata mbegu, hali ya chakula itakuwaje?!

Nadhani unalazimisha kujiona ni mwerevu ila kiukweli hauna ufahamu wa mambo (lack of exposure) na uko hapa kuprove hilo kwa hoja hafifu kama kumwambia mleta mada anasumbuliwa na umasikini wa akili ile hali ni wewe ndie mwenye uhaba wa akili.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nazani majibu hayo yapo ktk hansad pale bungeni kwanini walizuia

Kuhusu mazala ya GMO nasani USA na mataifa mengine ya kusini marekani kungekuwa hakna mtu anaishi

Kaa na nadhalia yako... narejea tena kama una jiona mwelevu basi fika ktk maabara zao wana karibisha watafiti aina yako ili uweze kufanya tafiti

Au omba ufanye tafiti popote ulipo uweze kuzifanyia tafiti hizo mbegu na mmea wake na ardhi ambayo imetumika kuzalisha mmea ulio tokana na GMO

Umasikini wa akili ni mbaya sana

Usipinge kitu kwa kusikia zaidi...

NB:
Uzuri hawa watu wana karibisha tafiti zifanyike

Pia watu wanacho pinga sio hicho cha kansa, kansa ni sababu ya kuzuia ukweli uliopo ambao watu wana pinga...

Mbegu haijatumika, hauja ila una sema ina leta kansa, huu utafiti umeufanya lini? Wapi?

Watu waelevu ni waelevu kweli...

Umejiuliza kwanini watu wa marekani wana pata makansa!?

Et umekosa expozya...
 
Watafiti hawasemi ukweli. Ukweli ni Kwamba vyakula vya GMO haviendani na system ya mwili Kama Mungu alivoumba...watu wanakula makapi na mwisho wa siku ni cancer

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Hizo mbegu za GMO zinalengo la kuleta utumwa wa chakula, mbegu za asili zikitoweka, tutalazimika kuagiza mbegu kwa kila msimu, maana GMO huzaa mazao tasa.
 
si kwel, hamna research ilio prove hilo, nabila gmos dunia kwa sasa ingekuwa kwenye shida kubwa, na sasa kuna technology ya kuzalusha nyama maabala amba iko safi kwa mlaji.
Waulize waindonesia wana kula manyama gani

Na kuna mboga kama nyama pia wana kula

Lakini idadi yao ya kuzailiana na bado kuna imani sana ya dini ya mudi

Pia zingatia ni kisiwa kile...

Kuna watu wana kwambia GMO... nendeni maabara mkafanye tafiti

Msiishie ktk mbegu za F1 F2...

Wachina wana zalisha mambegu ya mpunga, wana kesha maabara kwei kweli, wana fanya tafiti haswa

Leo wana lima mpunga jangwani

Leo wana mwezi sijui jua badia

Alafu kuna mtu ana kuja pingana huku amekaa sebureni na limoti akiangalia tv ambazo wazee wake zamani wakati zina ingia waliona ni kitu cha ajabu, na kuona ni mkosi kwa maana vitu kama hivyo ni wana tumia kuangalia mtu katika sufulia sijui ungo wakiloga

Baada ya uzao ule kupita leo kizazi hiki ndio kina faidi teknolojia ile ambayo wazee waliona no mamikosi kama kuzaa mapacha kutupa au kuua albino (wamasai wana fanya mpaka kesho kwa imani zao)
 
Lakn hizi GMO hata super markets nchini marekani zipo za kutosha,swali ni je inakuwaje wao waue raia wake?
 
Hizo mbegu za GMO zinalengo la kuleta utumwa wa chakula, mbegu za asili zikitoweka, tutalazimika kuagiza mbegu kwa kila msimu, maana GMO huzaa mazao tasa.
Safi... na huu ndio ukweli ambao serikali nyingi zina pinga, na kutumia kusema zina athiri mifumo ya mwili

Kunge kuwa kuna siri ina fichwa wasinge kubari watafiti ktk maabara zao

Au mbegu zao zifanyiwe tafiti
 
Lakn hizi GMO hata super markets nchini marekani zipo za kutosha,swali ni je inakuwaje wao waue raia wake?
Ili swali jibu lake analo mwelevu mmoja hapo juu mwenye expozya
 
Ndizo zilizojaaa.
Anza nyanya kubwa kuliko zamani,
Njoo pia matango, tikiti, karoti, vitunguu maji, vitunguu saumu vyote vimerekebishwa. Ni vikubwa kuliko vya asili na vya asili vimepotea... Havipo.
Mahindi pia kwa sasa si kama zamani mkivuna mnachagua mbegu za kuja kuotesha tena. Siku hizi ni kununua mbegu na ukirudia kupanda msimu unaofuata hupati matokea mazuri.
Acha kupotosha mkuu,kwa Tz,mbegu za GMO,bado hazijaruhusiwa kutumika.hizo unazo zungumzia ni mbegu zilizoboraeshwa tu na sio Gmo.
 
Swali ninkwanini wao wazungu wanataka product og? Kwani wao wajinga? Wazungu hawanunui izo product za gmo kwanza gmo hazina ladha jaribu kutumia nyanya hizi za gmo mbaya kishenzi pia ata zikioza wadudu hawana time nazo
Una jua kwann? Zikioza hawana muda nazo?

Tafuta ujue usihishie hapo kwenye modified DNA

Hawa watu wana toa darasa vyema na wana kulipia gharama ufanye tafiti

Makampuno mengi yamefanya tafiti lakini hayajafika mwisho maana hawana majibu ya tafiti, hawana majibu ya kutoa
 
Back
Top Bottom