Muda mwingine muwe mnakaa kimya ili kujiepusha na aibu ndogo ndogo kama hizi.
Hivi umeshawahi kujiuliza kwann Western countries especially USA wanasumbuliwa sana na kansa tena kwa kiwango kikali sana, na kwann Africa, Asia na Middle Eastern countries wana experience kiwango kidogo sana cha kansa?!
Umeshawahi kuhoji kwann mbegu za kisasa ikishazaa matunda mbegu hazioteshi tena, kwann hazina maisha ndani ya mbegu changa?!
Haujawahi jiuliza hatima ya taifa lako imetokea tunatumia 100% ya GMO kesho na keshokutwa mataifa ya magharibi wakagoma kusaidia tena na pembejeo za kilimo ikiwamo mbolea, dawa za wadudu na hata mbegu, hali ya chakula itakuwaje?!
Nadhani unalazimisha kujiona ni mwerevu ila kiukweli hauna ufahamu wa mambo (lack of exposure) na uko hapa kuprove hilo kwa hoja hafifu kama kumwambia mleta mada anasumbuliwa na umasikini wa akili ile hali ni wewe ndie mwenye uhaba wa akili.
Sent using
Jamii Forums mobile app