Je ni kweli M23 nao wamekuja kulinda Bandari?!

Sidhani hata hayo maandamano Kama yatakuwepo. Siamini, nachojua hakuna maandamano yoyote

Ila nilichonotisi kwako ni kuwa unakosoa pengine kwa kujifichia tu lakini wewe ni regime apologist. Hutamani kuona hii ccm ikiondoka madarakani, ni mnafki unayeshindwa kuwa kama walivyo kina mwashambwa
 
Ile habari ya Uganda kutuma Wanajeshi ililetwa hapa lakini sijakuona ukimtuhumu yule aliyeileta kuwa ni regime apologist.

Huyu Jasusi TV ndiye habari zake huwa ni za kuaminika ndiye aliyetutonya kuwa mwendazake ameeda zake.

Pascal Mayalla
 
Ile habari ya Uganda kutuma Wanajeshi ililetwa hapa lakini sijakuona ukituhumu yule aliyeileta kuwa ni regime apologist.

Huyu Jasusi TV ndiye habari zake huwa ni za kuaminika ndiye aliyetutonya kuwa mwendazake ameeda zake.

Pascal Mayalla
Kuna muktadha wa mtu anayeleta na jumla ya maoni yake ya siku zote.

Kuwa regime apologist sio dhambi, dhambi ni unafki wa kujifanya sio regime apologist. Kuna watu hupenda serikali basi tu sababu wanapenda hata ifanye ubaya upi. Ndio binadamu tunatofautiana

Kuhusu magufuli, mtu wa kwanza kuzungumzia umauti wake ni Lissu. Labda usema huyo baadae alikuja tu kukazia lakini Hakuna wa kwanza
 
Kuwa regime apologist sio dhambi, dhambi ni unafki wa kujifanya sio regime apologist. Kuna watu hupenda serikali basi tu sababu wanapenda hata ifanye ubaya upi. Ndio binadamu tunatofautiana
Nikiona kuna mipango ya kuchoma nchi au kubomoa nchi au kuvamia sheli na kuzichoma nisapoti tu ili nionekane radical kwamba ni mwanaharakati makini au niweke nchi kwanza vyama baadae?
 
Kukodi Mercenaries ni kawaida sana now days. Sasa jiulize wakitoka leo watu hata 10k Hao watu watafanya nini?

Watapiga risasi? Carne hii?

Wakijitahidi sana ni Virungu, na Tear gas, na kukamata wachache. Sasa kama kuna mtu anaweza piga vurungu watu 10k basi atapata tuzo za kimataifa.
 
Hao wakiungana na hao waganda pamoja na hawa wa hapa nyumbani nadhani itakuwa ni blood bath.
 
Nikiona kuna mipango ya kuchoma nchi au kubomoa nchi au kuvamia sheli na kuzichoma nisapoti tu ili nionekane radical kwamba ni mwanaharakati makini au niweke nchi kwanza vyama baadae?
Mkuu hapo wapi nimekuambia uwe mwanaharakati au uwe mpinzani? Ulipo ni haki yako, nilichokupinga ni kuwa na unafki

Pili, hizi kauli za sijui kuchoma nchi, kuvamia shell ni dhahania tu mnazo zitengeeza nyie regime apologists. Sijaona mtu wa kuchoma nchi wala wa kuvamia shell, haya maneno yako ndio huyatumia ccm hadi walioko uongozi wa huko juu wakaja na kesi ya ugaidi ya mbowe, wakaja na kesi ya uhaini ya lissu, wakati uhalisia wake haupo. Hakuna wa kuchoma nchi, mnatumia haya maneno kuhalalisha mapendo mliyonayo kwa serikali
 
Hii nayo kashfa sasa.yani bandari ije ilindwe na vipofu. Wameshindwa kulinda vijiji vyao huko maporini ndio wake mjini. Acha vichekesho mkuu
 
Hao wakiungana na hao waganda pamoja na hawa wa hapa nyumbani nadhani itakuwa ni blood bath.

Hyo blood bath inatokeaje mkuu? Watashiia panga wachinje watu?

Au hamjawai kushuhudia maandamano hapa nchini?

Kama watu wataamua kutoka kuandamana, Hakuna Nguvu ya kuwazuia.

Labda watu waogope wasitoke.
 
Sidhani hata hayo maandamano Kama yatakuwepo. Siamini, nachojua hakuna maandamano yoyote

Ila nilichonotisi kwako ni kuwa unakosoa pengine kwa kujifichia tu lakini wewe ni regime apologist. Hutamani kuona hii ccm ikiondoka madarakani, ni mnafki unayeshindwa kuwa kama walivyo kina mwashambwa
Ni mnafiki aliepitiliza huyo alaf mwanaume dah huzuni
 
Hyo blood bath inatokeaje mkuu? Watashiia panga wachinje watu?

Au hamjawai kushuhudia maandamano hapa nchini?

Kama watu wataamua kutoka kuandamana, Hakuna Nguvu ya kuwazuia.

Labda watu waogope wasitoke.
Hizi tawala za Kiafrika hazishindwi kumwaga damu hebu angalia hapo Kenya kila maandamano ya GenZ watu wengi wanauwawa.
 
Ingia tiktok ingia instagram au na huko pia regime apologist na utuwekee ushahidi.
Mkuu unamaanisha Nchi inachomwa TikTok?

Huna tofauti na yule afisa doria wa mitandaoni kwenye kesi ya Lissu. Yeye alisema alikua akifanya doria mtandaoni akaona lissu anasema atakinukisha, hivyo huo ni uhaini. Wewe umefanya doria Tiktok ukaona nchi inachomwa. Smh
 
Nilikuwa napitapita tiktok instagram, doria wanafanya usalama wa taifa na polisi, watu mambo wayayoyaongea kule ni mambo ya kutisha na ndio maana maandamano yanapigwa marufuku, kwasababu wanachoongelea sio maandamano ya AMANI sijui kama kuna nchi inaweza kuruhusu.

Mimi nilisema nayaunga mkono maandamano ya AMANI ya kikatiba ambayo yatakuwa organised na CHADEMA
 
Yatokee au yasitokee ni issue nyingine, awareness na wananch kuongelea utekaji na mauaji yanayofanywa na Samia na genge lake na kujaribu kuandamana ni mwanzo mzuri sana wa kupambana na hawa wahuni
 
Back
Top Bottom