Ile habari ya Uganda kutuma Wanajeshi ililetwa hapa lakini sijakuona ukimtuhumu yule aliyeileta kuwa ni regime apologist.Sidhani hata hayo maandamano Kama yatakuwepo. Siamini, nachojua hakuna maandamano yoyote
Ila nilichonotisi kwako ni kuwa unakosoa pengine kwa kujifichia tu lakini wewe ni regime apologist. Hutamani kuona hii ccm ikiondoka madarakani, ni mnafki unayeshindwa kuwa kama walivyo kina mwashambwa
Kuna muktadha wa mtu anayeleta na jumla ya maoni yake ya siku zote.Ile habari ya Uganda kutuma Wanajeshi ililetwa hapa lakini sijakuona ukituhumu yule aliyeileta kuwa ni regime apologist.
Huyu Jasusi TV ndiye habari zake huwa ni za kuaminika ndiye aliyetutonya kuwa mwendazake ameeda zake.
Pascal Mayalla
Nikiona kuna mipango ya kuchoma nchi au kubomoa nchi au kuvamia sheli na kuzichoma nisapoti tu ili nionekane radical kwamba ni mwanaharakati makini au niweke nchi kwanza vyama baadae?Kuwa regime apologist sio dhambi, dhambi ni unafki wa kujifanya sio regime apologist. Kuna watu hupenda serikali basi tu sababu wanapenda hata ifanye ubaya upi. Ndio binadamu tunatofautiana
Hao wakiungana na hao waganda pamoja na hawa wa hapa nyumbani nadhani itakuwa ni blood bath.Kukodi Mercenaries ni kawaida sana now days. Sasa jiulize wakitoka leo watu hata 10k Hao watu watafanya nini?
Watapiga risasi? Carne hii?
Wakijitahidi sana ni Virungu, na Tear gas, na kukamata wachache. Sasa kama kuna mtu anaweza piga vurungu watu 10k basi atapata tuzo za kimataifa.
Mkuu hapo wapi nimekuambia uwe mwanaharakati au uwe mpinzani? Ulipo ni haki yako, nilichokupinga ni kuwa na unafkiNikiona kuna mipango ya kuchoma nchi au kubomoa nchi au kuvamia sheli na kuzichoma nisapoti tu ili nionekane radical kwamba ni mwanaharakati makini au niweke nchi kwanza vyama baadae?
Hao wakiungana na hao waganda pamoja na hawa wa hapa nyumbani nadhani itakuwa ni blood bath.
Ni mnafiki aliepitiliza huyo alaf mwanaume dah huzuniSidhani hata hayo maandamano Kama yatakuwepo. Siamini, nachojua hakuna maandamano yoyote
Ila nilichonotisi kwako ni kuwa unakosoa pengine kwa kujifichia tu lakini wewe ni regime apologist. Hutamani kuona hii ccm ikiondoka madarakani, ni mnafki unayeshindwa kuwa kama walivyo kina mwashambwa
Hizi tawala za Kiafrika hazishindwi kumwaga damu hebu angalia hapo Kenya kila maandamano ya GenZ watu wengi wanauwawa.Hyo blood bath inatokeaje mkuu? Watashiia panga wachinje watu?
Au hamjawai kushuhudia maandamano hapa nchini?
Kama watu wataamua kutoka kuandamana, Hakuna Nguvu ya kuwazuia.
Labda watu waogope wasitoke.
Mkuu unamaanisha Nchi inachomwa TikTok?Ingia tiktok ingia instagram au na huko pia regime apologist na utuwekee ushahidi.
Nilikuwa napitapita tiktok instagram, doria wanafanya usalama wa taifa na polisi, watu mambo wayayoyaongea kule ni mambo ya kutisha na ndio maana maandamano yanapigwa marufuku, kwasababu wanachoongelea sio maandamano ya AMANI sijui kama kuna nchi inaweza kuruhusu.Mkuu unamaanisha Nchi inachomwa TikTok?
Huna tofauti na yule afisa doria wa mitandaoni kwenye kesi ya Lissu. Yeye alisema alikua akifanya doria mtandaoni akaona lissu anasema atakinukisha, hivyo huo ni uhaini. Wewe umefanya doria Tiktok ukaona nchi inachomwa. Smh