kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Marefa wa offside nao wameanza mgomo moto leoInasemekana Kuna Mgomo Baridii Hapoo
Hakuna Cha mgomo Wala nini.,issue ni kuwa vyombo vya dola vinafuatilia kwa karibu tuhuma za rushwa mpirani...marefa Sasa wana hofu...wanachezesha kwa haki...tumeona leo...Inasemekana Kuna Mgomo Baridii Hapoo
Sio haki ,Simba wameonewa leo lile lilikuwa goli sahihi kabisa ( fraga)Hakuna Cha mgomo Wala nini.,issue ni kuwa vyombo vya dola vinafuatilia kwa karibu tuhuma za rushwa mpirani...marefa Sasa wana hofu...wanachezesha kwa haki...tumeona leo...
Kuna mgogoro mkubwa tu hata leo baada ya game matola ameonekana na patrick rweyemamu ambaye ni manager akitoka vyumbani huku anarusha rusha mikono.matola ni mtu wa majungu majunguNi nani alimleta mzungu?Mbona anaonekana hana uwezo?
Je wachezaji si watawagawa iwapo hawaelewani?
Je uongozi wa Simba mbona mpo kimya?
Hii tabia ya kuleta watu bila kujua tamaduni zao,hamuoni itaigharimu Simba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama wameonewa ni sawa tu....maana upendeleo ulizidi mno kwa Simba...karibu michezo Tisa Simba amependelewa...Sio haki , s
Sio haki ,Simba wameonewa leo lile lilikuwa goli sahihi kabisa ( fraga)
Goli la Fraga kukataliwa ni haki, subiri afungiwe miaka 3Hakuna Cha mgomo Wala nini.,issue ni kuwa vyombo vya dola vinafuatilia kwa karibu tuhuma za rushwa mpirani...marefa Sasa wana hofu...wanachezesha kwa haki...tumeona leo...
Matola hana tofauti na ManaraKuna mgogoro mkubwa tu hata leo baada ya game matola ameonekana na patrick rweyemamu ambaye ni manager akitoka vyumbani huku anarusha rusha mikono.matola ni mtu wa majungu majungu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe na ninyi mmeanza kulalamika? Na bado mtalalamika Sana...marefa wameanza kuwaogopa na wachezaji wa timu pinzani nao wameanza kuogopa...akifungiwa sawa..yule jonesia ametoa penalti ya bure na hakumpa kadi Wawa eti anaonywa...
Sasa haki iko wapi ? Huwezi kusema haki wakati mtu kaonewa , mechi ya SSC na yanga refa alifanya makosa kwa timu zote , aliibeba SSC kwa kuipa penalty , na aliibeba yanga kwa kutomtoa yondani kwa kadi nyekunduKama wameonewa ni sawa tu....maana upendeleo ulizidi mno kwa Simba...karibu michezo Tisa Simba amependelewa...
Na Wawa alifanywa nini na Refa?Sasa haki iko wapi ? Huwezi kusema haki wakati mtu kaonewa , mechi ya SSC na yanga refa alifanya makosa kwa timu zote , aliibeba SSC kwa kuipa penalty , na aliibeba yanga kwa kutomtoa yondani kwa kadi nyekundu
Leo mtaongelea Kila kitu kuhusu kocha yupo kwenye raiti traki suti.Ni nani alimleta mzungu?Mbona anaonekana hana uwezo?
Je wachezaji si watawagawa iwapo hawaelewani?
Je uongozi wa Simba mbona mpo kimya?
Hii tabia ya kuleta watu bila kujua tamaduni zao,hamuoni itaigharimu Simba?
Sent using Jamii Forums mobile app