kibaravumba
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 6,634
- 7,015
Ni nani alimleta mzungu? Mbona anaonekana hana uwezo?
Je, wachezaji si watawagawa iwapo hawaelewani?
Je, uongozi wa Simba mbona mpo kimya?
Hii tabia ya kuleta watu bila kujua tamaduni zao, hamuoni itaigharimu Simba?
Sent using Jamii Forums mobile app
Je, wachezaji si watawagawa iwapo hawaelewani?
Je, uongozi wa Simba mbona mpo kimya?
Hii tabia ya kuleta watu bila kujua tamaduni zao, hamuoni itaigharimu Simba?
Sent using Jamii Forums mobile app