Je, ni kweli Matola haelewani na kocha mzungu?

Je, ni kweli Matola haelewani na kocha mzungu?

Pongezi ziende kwa serikali ya awamu ya tano kwa kupambana na rushwa michezoni. Hizi timu za simba na yanga ni timu dhaifu mno bila kubebwa na refa. Halafu uwezo wa hizi timu ni mdogo mno ndio maana wakienda nje huko ambapo refa hapokei rushwa wanakula 5.
Serikali indelee kukaza hihivi angalau simba au yanga ale 5 kiwanja cha mkoani. Na wachezaji wa mkoani waonekane.


Na hiki ni kishindo cha awamu ya Tano.
Kishindo Cha awamu ya tano kikiletwa kwako na TBC.
 
Hivi Simba tatizo ni ?

1.Matola kutokuelewana na Sven

2.Sven mbinu hana

3.Matola na Sven uwezo mdg au

Kingine mlimuondoa PA ,mkasahau kocha Wa viungo na kocha Wa makipa , ilitakiwa unafagia benchi zima , kocha mkuu ndio achague safu yake ,Ili wakiondoka waondoke wote
 
Back
Top Bottom