M.Rutabo
JF-Expert Member
- Apr 8, 2015
- 1,031
- 2,647
Kishindo Cha awamu ya tano kikiletwa kwako na TBC.Pongezi ziende kwa serikali ya awamu ya tano kwa kupambana na rushwa michezoni. Hizi timu za simba na yanga ni timu dhaifu mno bila kubebwa na refa. Halafu uwezo wa hizi timu ni mdogo mno ndio maana wakienda nje huko ambapo refa hapokei rushwa wanakula 5.
Serikali indelee kukaza hihivi angalau simba au yanga ale 5 kiwanja cha mkoani. Na wachezaji wa mkoani waonekane.
Na hiki ni kishindo cha awamu ya Tano.