Pongezi ziende kwa serikali ya awamu ya tano kwa kupambana na rushwa michezoni. Hizi timu za simba na yanga ni timu dhaifu mno bila kubebwa na refa. Halafu uwezo wa hizi timu ni mdogo mno ndio maana wakienda nje huko ambapo refa hapokei rushwa wanakula 5.
Serikali indelee kukaza hihivi angalau simba au yanga ale 5 kiwanja cha mkoani. Na wachezaji wa mkoani waonekane.
Kingine mlimuondoa PA ,mkasahau kocha Wa viungo na kocha Wa makipa , ilitakiwa unafagia benchi zima , kocha mkuu ndio achague safu yake ,Ili wakiondoka waondoke wote