Je, ni kweli meditation inaamsha nguvu ya kiroho isiyoonekana?

Je, ni kweli meditation inaamsha nguvu ya kiroho isiyoonekana?

Mie nadhani unaposema meditation inamaana ya utulivu wa akili ambao utapelekea roho na moyo/mwili kuwasiliana hivyo huleta amani na uangafu wa mawazo. Meditation ni part kubwa ya nguvu za kiroho lakini meditation haileti hizo nguvu but nguvu inakuwa kwako, kuna baadhi ya walimu husema mtu anaweza kuamka kiroho hata kama hakufanya meditation au kusoma sacred scriptures, meditation is like playing with mind, wengi wenye nguvu za kiroho hufanya meditation in various ways hata wakiwa wana pika hufanya meditation ni kama wale wachina wa kung fu husema kung fu is everything even dancing.
 
Back
Top Bottom