Soulbrother
JF-Expert Member
- Apr 14, 2009
- 405
- 17
Hebu nisaidieni, kuna dada anasema eti sisi wanaumme tukiona kitu kizuri lazima tukikague kwa macho. Amepatia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
yuko sahihi.
na kwakweli huo ndio uanaume wenyewe
SB kwa wewe binafsi unaonaje ?Hebu nisaidieni, kuna dada anasema eti sisi wanaumme tukiona kitu kizuri lazima tukikague kwa macho. Amepatia?
ndo maanake!macho tu!I MEAN hatuentatain ''a further step''....!kama kaizer😀😀lakini tunaangalia kimpango sio laivu. ama?
SB kwa wewe binafsi unaonaje ?
ndo maanake!macho tu!I MEAN hatuentatain ''a further step''....!kama kaizer😀😀
Hebu nisaidieni, kuna dada anasema eti sisi wanaumme tukiona kitu kizuri lazima tukikague kwa macho. Amepatia?
Lakini hapo ni wewe na nani mpwa?😀
kama no further steps, uanaume wako si unakuwa questionable bana!
kiongozi wangu Bigirita sijui hajaamka au boksi limekuwa kali😀
wife wako angeyajua haya nadhani angepata presha!yuko sahihi.
na kwakweli huo ndio uanaume wenyewe
ndo maanake!macho tu!I MEAN hatuentatain ''a further step''....!kama kaizer😀😀
Yaani kwa maneno mengine, huwa tunasoma ''menu'' tu ila chakula tunakwenda kula nyumbani!![]()
mmmh!!!!
Unaguna nini sasa binamu jamani, fahari ya macho haifilisi duka!
mmh!!! B....au basi
mmmh!!!!
vinanda hivyo mama!i think kwa namna ulivyoconnect them dots ''UMEPATA PICHA''
na kwakweli ndivyo ilivyo
mimi naona tuendelee kujadili sredi hivi hivi hata kama hatuna cha kusema sana😀acha tu nipige vinanda kakaake
leo am kinda running short of words.....!!!
mimi naona tuendelee kujadili sredi hivi hivi hata kama hatuna cha kusema sana😀