Je ni kweli, men have a problem, lazima waangalie

Je ni kweli, men have a problem, lazima waangalie

Soulbrother

JF-Expert Member
Joined
Apr 14, 2009
Posts
405
Reaction score
17
Hebu nisaidieni, kuna dada anasema eti sisi wanaumme tukiona kitu kizuri lazima tukikague kwa macho. Amepatia?
 
yuko sahihi.
na kwakweli huo ndio uanaume wenyewe
 
Mwanaume ni km simba mwituni, swala wote wanaokatiza mbele yake ni halali yake hahahaaa, macho hayana pazia na mwanaume anakuwa attracted na physical look ndo maana lazima aangalie zaidi ya hapo mmh!
 
Sio LAZIMA saaaana, mwishowe unaweza kukuta sio penyewe... Kwa hiyo si muhimu sana kupekua..
 
ndo maanake!macho tu!I MEAN hatuentatain ''a further step''....!kama kaizer😀😀

Lakini hapo ni wewe na nani mpwa?😀

kama no further steps, uanaume wako si unakuwa questionable bana!

kiongozi wangu Bigirita sijui hajaamka au boksi limekuwa kali😀
 
Lakini hapo ni wewe na nani mpwa?😀

kama no further steps, uanaume wako si unakuwa questionable bana!

kiongozi wangu Bigirita sijui hajaamka au boksi limekuwa kali😀

mmh!!! B....au basi
 
ndo maanake!macho tu!I MEAN hatuentatain ''a further step''....!kama kaizer😀😀

Yaani kwa maneno mengine, huwa tunasoma ''menu'' tu ila chakula tunakwenda kula nyumbani!
icon10.gif
 
Unaguna nini sasa binamu jamani, fahari ya macho haifilisi duka!

mmoja juzi alisimamisha gari ili dada avuke barabara na akasema wazi aalitaka tu kumtazama na roho yake itaridhika......
mna shughuli viumbe nyie.......
 
vinanda hivyo mama!i think kwa namna ulivyoconnect them dots ''UMEPATA PICHA''

na kwakweli ndivyo ilivyo

acha tu nipige vinanda kakaake
leo am kinda running short of words.....!!!
 
acha tu nipige vinanda kakaake
leo am kinda running short of words.....!!!
mimi naona tuendelee kujadili sredi hivi hivi hata kama hatuna cha kusema sana😀
 
Back
Top Bottom