Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
Nimeenda kumsalimia mshikaji wangu kajenga nje ya mji kidogo, tulikua kama watatu, tulipofika story zikaendelea jamaa tukawa tunamsifia katengeneza garden amazing, akaenda kukata miwa tutafune huku tunaenjoy hali ya hewa, miwa ilikua mitamu balaa wenzangu wakawa wanaisifia miwa kwamba ina maji meengi sana na mitamu sio mchezo.
Nikaenda msalani nikaona miwa imepandwa pembeni ya bomba la maji taka yanayotokea bafuni, na katengeneza kamfereji flani ili maji yasiende, pia hata mtu akikojoa bafuni akiflash maji yanaenda kwenye miwa.
Vipi wajuzi tumekula uchafu au tulipata nutrient salama?