Je ni kweli miwa inayooteshwa pembeni ya bafu ina madhara yoyote?

Je ni kweli miwa inayooteshwa pembeni ya bafu ina madhara yoyote?

Hayo maji ya chooni ndo utamu wenyewe. But why awe na garden halafu maji ya bafuni anatiririsha kwenye miwa na sio kwenye shimo la maji taka?
 
Mpunga unalimwa kwenye maji machafu mazalia ya konokono, na maliwato ya vyura maji lakini wali unapiga kila siku na upo fresh tu...
 
Kuku wa kienyeji huko vijijini wanakula vinyesi vya watoto ...watamu balaa
 
Back
Top Bottom