Prakatatumba abaabaabaa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2022
- 1,842
- 6,087
Miwa inataka maji ili ikue sasa maji yenyewe ya chooni.Kuku wanakunywa hayo maji ya chooni sasa sijui kuhusu miwa.
Kwa namna yeyote ile haishauriwi kutumia vyakula au mbogamboga zinazonyeshewa kwa kutumia maji ya chooni.Nimeenda kumsalimia mshikaji wangu kajenga nje ya mji kidogo, tulikua kama watatu, tulipofika story zikaendelea jamaa tukawa tunamsifia katengeneza garden amazing, akaenda kukata miwa tutafune huku tunaenjoy hali ya hewa, miwa ilikua mitamu balaa wenzangu wakawa wanaisifia miwa kwamba ina maji meengi sana na mitamu sio mchezo.
Nikaenda msalani nikaona miwa imepandwa pembeni ya bomba la maji taka yanayotokea bafuni, na katengeneza kamfereji flani ili maji yasiende, pia hata mtu akikojoa bafuni akiflash maji yanaenda kwenye miwa.
Vipi wajuzi tumekula uchafu au tulipata nutrient salama?
ushafuatilia chakula cha samakiNimeenda kumsalimia mshikaji wangu kajenga nje ya mji kidogo, tulikua kama watatu, tulipofika story zikaendelea jamaa tukawa tunamsifia katengeneza garden amazing, akaenda kukata miwa tutafune huku tunaenjoy hali ya hewa, miwa ilikua mitamu balaa wenzangu wakawa wanaisifia miwa kwamba ina maji meengi sana na mitamu sio mchezo.
Nikaenda msalani nikaona miwa imepandwa pembeni ya bomba la maji taka yanayotokea bafuni, na katengeneza kamfereji flani ili maji yasiende, pia hata mtu akikojoa bafuni akiflash maji yanaenda kwenye miwa.
Vipi wajuzi tumekula uchafu au tulipata nutrient salama?
Ungalijua alacho nyuki, usingeonja asali.ushafuatilia chakula cha samaki
ushafuatilia misosi ya nguruwe
kweli kabisa tunakula vitu vya ajabu sanaUngalijua alacho nyuki, usingeonja asali.
Kweli kabisa umenenaKwa namna yeyote ile haishauriwi kutumia vyakula au mbogamboga zinazonyeshewa kwa kutumia maji ya chooni.
Hii ni kwa sababu, mikojo ina vijidudu hatari visababishavyo magonjwa. Sasa kutumia miwa ambayo imetumia maji ya mkojo na kinyesi kunaleta uwezekano mkubwa sana wa kuvamiwa na vijidudu hivyo.
Lakini pia, bafuni au chooni kunatumika kemikali nyinginezo kutoka kwenye sabuni na dawa za kusafisha vyoo. Maana yake ni kuwa, kemikali hizo huenda kutuama kwenye miwa au mbogamboga hizo. Na unapochukua hatua ya kwenda kutumia, basi unahatarisha afya yako.
Si miwa tu na mbogamboga, hata samaki wanaovuliwa katika mabwawa ya maji machafu nayo hayafai kuliwa. Epuka sana kula samaki aina ya kambale ambao hujui mazingira ya uvuaji wake.
Chukua tahadari. Afya ni mtaji namba 1.
Ila nyuki tunakula end product yake tayari kinakua kishafanya process mbalimbali, lakini miwa inahitaji maji ili ukue.Ungalijua alacho nyuki, usingeonja asali.
hichi nacho ni kitambi au matatizo fulani ya afya?
Kaa mbali-Kambale....huyu samaki mtamu sana, mkuu unashauri tusile kambale?...aahKwa namna yeyote ile haishauriwi kutumia vyakula au mbogamboga zinazonyeshewa kwa kutumia maji ya chooni.