Je, ni kweli Mpoki hakuhudhuria harusi ya Masanja?

Sheria ya asili, "Ukishafika KILELENI, huna pakwenda zaidi, ni kushuka tu!"
 
Nadhani kila lenye mwanzo halikosi mwisho na pengine usemi huu umewakuta hawa jamaa
 
Hao wawili bila Masanja wasingetoka pia,mkandamizaji kwao alikua km team leader amewasidia na sasa wanaweza kujiongoza wenyewe etc
 
Jamani hebu msituchoshe na mambo yenu.Kwani kutokuhudhuria kwake kumepunguza nini?Sasa watu wazima tuanze kuchunguza mambo ya watu jamani like serious????
Pita kule, kwani hujui maana ya kuwa celebrity wewe jike shupa?
 
When people are together,differences are BOUND to happen
 
Haha kweli masanja katembelea nyota alaf katusuaa
 
Sidhani kama wanamtafaruku maana mwezi uliopita niliwaona mpoki na joti airport mwanz walikua wako pamoja wakisubiria ndegw y kwend dar
Maish yamebadilika mtoa mada,kufatanafatana kama kuku sasa hvi hakuna
Pia nishawaona mpoki na masanja airport dar mwez uliopita
 
kwamba anajilipa zaidi kuliko wenzie?,au mbali na comedy ana kazi binafsi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…