dexterous
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 2,037
- 3,134
swali ni kwanini hakuudhuria?
kwani nao huu ni umbey?
Hilo swali asiulizwe mhusika mwenyew utuulize sisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
swali ni kwanini hakuudhuria?
kwani nao huu ni umbey?
Mkuu Mkuu acha uongo Kama nikweli naomba screenshot aliompost, mm sijaona au labda Kama anatumia account nyingine lakn ninayoijua mm ya @mpokicomedyofficial sijaonambona alimpost
PossiblyUsijesikia bibi harusi alikuwa mchepuko wa mwarabu wa dubai
Natania tu
utanipa nini?Mkuu Mkuu acha uongo Kama nikweli naomba screenshot aliompost, mm sijaona au labda Kama anatumia account nyingine lakn ninayoijua mm ya @mpokicomedyofficial sijaona
Unachotakautanipa nini?
utakuwa umeelewa great thinker.Hii barua yako ilichukua dakika ngapi kuiandika?Aiseee una moyo wa uandishi
una uhakika?Litakuwa ni jambo kubwa Sana maana ingekuwa hawana bifu angepost hata kuwapongeza lakn sijaona mpaka nikajiuliza
Jamii yetu kila siku inataka kudili na mambo ya watu bila kujua mda wake wa kuishi unakwisha duu tubadilike
Zaidi ya uhakikauna uhakika?
Anakula pensheni vodaNi kwel mkuu hasa huyu Mpoki yuko kimya sana.