Je, ni kweli Mpoki hakuhudhuria harusi ya Masanja?

Je, ni kweli Mpoki hakuhudhuria harusi ya Masanja?

Alikwepo..Ila kwa ule weusi kumuona ni kazi
 
Kiukweli hapo kukosekana kwake ilikuwa Sawa na kukosekana Kwa ndimu kwenye kachumbali
 
Jamani hebu msituchoshe na mambo yenu.Kwani kutokuhudhuria kwake kumepunguza nini?Sasa watu wazima tuanze kuchunguza mambo ya watu jamani like serious????
Talk to them......irrelevant issue katika ulimwengu wapilika nyingi!sijui anadhan Mpoki ndio baba mzazi wa Masanja
 
huku ndipo tulipofikia watanzania maisha ya udadisi na gossipings kweli tuna safari ndefu
 
Tajiri la kihaya huyo, hawezi kuhudhuria sherehe kwenye vibanda mama-ntilie.
 
Back
Top Bottom