bonnykessy
JF-Expert Member
- Oct 1, 2012
- 204
- 231
..unamuuliza nani humu? mtafute umuulize mwenyewe! ukiitwa ki-la-za unabwetua mdomo kama mjane wa tandika.swali ni kwanini hakuudhuria?
kwani nao huu ni umbey?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
..unamuuliza nani humu? mtafute umuulize mwenyewe! ukiitwa ki-la-za unabwetua mdomo kama mjane wa tandika.swali ni kwanini hakuudhuria?
kwani nao huu ni umbey?
Umefrahi sasa kusikia alikuwepohahahahaha uwiii
We ulihudhuria???Angalieni clips za harusi tajwa Mtaniambia,mbaya zaidi sijaona eneo la kuombewa apology.
Je ni kwanini hakuhudhuria?
wakata viuno wa diamondNdo wakina nani hao!
mjane wa tandika yukoje??..unamuuliza nani humu? mtafute umuulize mwenyewe! ukiitwa ki-la-za unabwetua mdomo kama mjane wa tandika.
Talk to them......irrelevant issue katika ulimwengu wapilika nyingi!sijui anadhan Mpoki ndio baba mzazi wa MasanjaJamani hebu msituchoshe na mambo yenu.Kwani kutokuhudhuria kwake kumepunguza nini?Sasa watu wazima tuanze kuchunguza mambo ya watu jamani like serious????
wachezaji wapya wa Simba kutoka MalawiNdo wakina nani hao!
Eeh! Mjane ea tandika? Yukoje huyu?..unamuuliza nani humu? mtafute umuulize mwenyewe! ukiitwa ki-la-za unabwetua mdomo kama mjane wa tandika.