Je, Ni kweli Msanii Marlaw alipotezwa na Siasa?

na bado awaulizie akina Juma Nature, TMK Wanaume Family, Bushoke, Dokii n.k walijifanye kukifanyia kampeni CHAMA CHA MAJAMBAKA na hv sasa waliisha tupwa kama KONDOMU........NA BADO

huo ndio ukweli ingawa kuna watu humu wametaka kuukwepa,muziki wa kizazi kipya hakika si rika la ccm bali wanawaudhi washabiki wao na kuwafanya wasusiwe na hatimae kuporomoka kimapato.

na huu ni mfano wa wazi wa kuwaelewesha kwamba unapoitetea ccm kwa namna nyingine unajikuta umekuwa public enemy namba mbili baada ya ccm yenyewe.

pia waelewe ccm wakishakutumia huwa wanakuacha kama ganda la muwa,nawapa pole sana kwa hilo.....:lol: :majani7::lol:
 
Wapi Juliana Shonza?!
Wapi Mwampamba?! hata kwenye chaguzi za mitaa hawakutumiwa.
Wapi yule msukule anayenyunyuziwa tindikali ili aumuke wa Nchemba?!
 
Marlaw anasoma MASTERS kumbuka mkewe ni mganda na ana elimu, sasa nasikia kuwa mkulu atamnyanyua kwa kumteua katika moja ya idara.

Nimesikia tu hapa ofisini wakiongea na mm nimewauliza ndo mmoja akatoa hili jibu.
 
Huyu Marlaw namuona sana Kunduchi kilongawima, inawezekana kabisa ni laana za kupigia kampeni maccm, naogopa kusema amechoka sababu sijui mambo yake binafsi, kwa jinsi navyomuona labda ameamua kufanya shughuli nyingine mbali na mziki, hayuko kabisa kimziki na ninaweza kumuweka katika kundi la kina Juma nature (mziki umewakataa) au labda mwenzetu bado anakula ule mzigo alioupata kwenye kampeni.
 
Huyu jamaa alikuwa mkali wa Bongo fleva, hakuna wimbo aliotoa ukachuja haraka au kutokupendwa. Walitoka msimu mmoja na Ali Kiba.

Nakumbuka wimbo wake wa mwisho ulio hit ni Pii Pii. Nachojiuliza huyu Marlaw ni very talented, sasa kapotelea wapi?
 
KAOA NA YUKO BIZE NA FAMILIA.
UJUWE UKISHAKUWA BABA MAJUKUMU YANAONGEZEKA SO HAWEZI KUKAA ANATUNGA NYIMBO AMBAZO HATA MWANAE ANAWEZA KUIMBA..PII PII MY ......

SIMPLE LIKE THAT..HE IS GROWN UP WITH FAMILY COMMITMENTS ... NO TIME TO WASTE IN BONGOFLAVAZ.
 
Fuatilia shule yake..! Kama darasani alipata zero atawezaje management ya mziki wake..?
 
Fuatilia shule yake..! Kama darasani alipata zero atawezaje management ya mziki wake..?
SHULE HAINA UHUSIANO NA UWEZO WA MTU KU-MANAGE MUZIKI WAKE.....KWAHIYO UNATAKA KUNIAMBIAJE KUHUSU KOFFI OLOMIDE?....HAJASOMA NDIO MAANA ANA MANAGER WA MUZIKI WAKE?... MAY BE SIJAKUELEWA FAFANUA ZAIDI UELEWEKE ILA KAMA NIMEKUELEWA VIZURI BASI SHULE HAINA UHUSIANO WOWOTE NA MUSIC MANAGEMENT.

SHULE INA UHUSIANO NA TUNGO ZA MWANAMUZIC ...MFUATILIE MWANA FA NA FID Q.. TUPAC ETEC UTAGUNDUA KUNA ELIMU KWENYE TUNGO ZAO
 
amepita kama wenzake walivyopita na engine watakavyopita
 

Sina uhakika kwa upande wa Marlaw kwamba kapumzika muziki ama kachemsha au yuko chimbo anatengeneza vitu.

But generally, kwa mtazamo wangu utaalamu wa kumanage biashara ya muziki unahitajika ili mwanamuziki abaki kwenye chati kwa muda mrefu. Wengine wanakuwa wanajua tu kuimba, hawajui kujimanage au hata kutunga nyimbo kali; hivyo wanaajiri manager na mtunzi mzuri wa nyimbo.

Kwenye muziki ni kama movie industry. Ukitaka kutunga mwenyewe, kujimanage mwenyewe na kuimba au kuigiza mwenyewe then jiandae kulishika soko kwa muda tu. Otherwise utadrop tu.
 
Mimi tokea alifanya kampeni ya chama cha kijani mwaka ule sijawahi kumsikia tena
 
Juzi kati kuna kanyimbo alikatoa sijui hata kimeishia wapi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…