tuwe makini na makabila mengine tunayoenda kuoaHuyu jamaa alikuwa mkali wa Bongo fleva, hakuna wimbo aliotoa ukachuja haraka au kutokupendwa. Walitoka msimu mmoja na Ali Kiba.
Nakumbuka wimbo wake wa mwisho ulio hit ni Pii Pii. Nachojiuliza huyu Marlaw ni very talented, sasa kapotelea wapi?