Je, Ni kweli Msanii Marlaw alipotezwa na Siasa?

Je, Ni kweli Msanii Marlaw alipotezwa na Siasa?

Huyu jamaa alikuwa mkali wa Bongo fleva, hakuna wimbo aliotoa ukachuja haraka au kutokupendwa. Walitoka msimu mmoja na Ali Kiba.

Nakumbuka wimbo wake wa mwisho ulio hit ni Pii Pii. Nachojiuliza huyu Marlaw ni very talented, sasa kapotelea wapi?
tuwe makini na makabila mengine tunayoenda kuoa
 
Nilikuwa napenda kweli uimbaji wake, sijui imekuwaje amepotea!
 
alikutana na mzimu wa kijani ukampofua akili akazama moja kwa moja chezea nyoka wa kijani weye
 
jamaa anajitaidi kutoa nyimbo siku baada ya siku lakini wapi...siku hizi anaimba kama mtoto wa shule ya msingi no ujumbe no ladha
 
Back
Top Bottom