grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,816
Nimeikuta hivyo hivyo kwenye library fulani....duh ulivyoisev eti diamond makamasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimeikuta hivyo hivyo kwenye library fulani....duh ulivyoisev eti diamond makamasi
na bado awaulizie akina Juma Nature, TMK Wanaume Family, Bushoke, Dokii n.k walijifanye kukifanyia kampeni CHAMA CHA MAJAMBAKA na hv sasa waliisha tupwa kama KONDOMU........NA BADO
SHULE HAINA UHUSIANO NA UWEZO WA MTU KU-MANAGE MUZIKI WAKE.....KWAHIYO UNATAKA KUNIAMBIAJE KUHUSU KOFFI OLOMIDE?....HAJASOMA NDIO MAANA ANA MANAGER WA MUZIKI WAKE?... MAY BE SIJAKUELEWA FAFANUA ZAIDI UELEWEKE ILA KAMA NIMEKUELEWA VIZURI BASI SHULE HAINA UHUSIANO WOWOTE NA MUSIC MANAGEMENT.Fuatilia shule yake..! Kama darasani alipata zero atawezaje management ya mziki wake..?
SHULE HAINA UHUSIANO NA UWEZO WA MTU KU-MANAGE MUZIKI WAKE.....KWAHIYO UNATAKA KUNIAMBIAJE KUHUSU KOFFI OLOMIDE?....HAJASOMA NDIO MAANA ANA MANAGER WA MUZIKI WAKE?... MAY BE SIJAKUELEWA FAFANUA ZAIDI UELEWEKE ILA KAMA NIMEKUELEWA VIZURI BASI SHULE HAINA UHUSIANO WOWOTE NA MUSIC MANAGEMENT.
SHULE INA UHUSIANO NA TUNGO ZA MWANAMUZIC ...MFUATILIE MWANA FA NA FID Q.. TUPAC ETEC UTAGUNDUA KUNA ELIMU KWENYE TUNGO ZAO
Laana mjumbe.Mimi tokea alifanya kampeni ya chama cha kijani mwaka ule sijawahi kumsikia tena
Atunge nyimbo za kuisifu CCMJuzi kati kuna kanyimbo alikatoa sijui hata kimeishia wapi.