H handsome2 Senior Member Joined Mar 22, 2016 Posts 106 Reaction score 60 Jun 21, 2016 #61 Tanzanite klm said: Huyu jamaa alikuwa mkali wa Bongo fleva, hakuna wimbo aliotoa ukachuja haraka au kutokupendwa. Walitoka msimu mmoja na Ali Kiba. Nakumbuka wimbo wake wa mwisho ulio hit ni Pii Pii. Nachojiuliza huyu Marlaw ni very talented, sasa kapotelea wapi? Click to expand... tuwe makini na makabila mengine tunayoenda kuoa
Tanzanite klm said: Huyu jamaa alikuwa mkali wa Bongo fleva, hakuna wimbo aliotoa ukachuja haraka au kutokupendwa. Walitoka msimu mmoja na Ali Kiba. Nakumbuka wimbo wake wa mwisho ulio hit ni Pii Pii. Nachojiuliza huyu Marlaw ni very talented, sasa kapotelea wapi? Click to expand... tuwe makini na makabila mengine tunayoenda kuoa
Tanzanite klm JF-Expert Member Joined May 7, 2013 Posts 478 Reaction score 408 Jun 21, 2016 #62 handsome2 said: tuwe makini na makabila mengine tunayoenda kuoa Click to expand... kwani kaoa kabila.gani mkuu
handsome2 said: tuwe makini na makabila mengine tunayoenda kuoa Click to expand... kwani kaoa kabila.gani mkuu
M maiye JF-Expert Member Joined Dec 16, 2013 Posts 1,159 Reaction score 2,028 Jun 21, 2016 #63 Nilikuwa napenda kweli uimbaji wake, sijui imekuwaje amepotea!
mgt software JF-Expert Member Joined Nov 1, 2010 Posts 13,778 Reaction score 7,145 Jun 21, 2016 #64 alikutana na mzimu wa kijani ukampofua akili akazama moja kwa moja chezea nyoka wa kijani weye
mzaramo JF-Expert Member Joined Sep 4, 2006 Posts 6,371 Reaction score 5,186 Jun 21, 2016 #65 jamaa anajitaidi kutoa nyimbo siku baada ya siku lakini wapi...siku hizi anaimba kama mtoto wa shule ya msingi no ujumbe no ladha
jamaa anajitaidi kutoa nyimbo siku baada ya siku lakini wapi...siku hizi anaimba kama mtoto wa shule ya msingi no ujumbe no ladha
vevenononombo JF-Expert Member Joined Jun 19, 2015 Posts 1,289 Reaction score 421 Jun 21, 2016 #66 Bila shaka
Lord Diplock MR JF-Expert Member Joined Mar 16, 2015 Posts 1,393 Reaction score 3,237 Jul 10, 2019 #67 Write your reply...okay