Mwalimu kp
JF-Expert Member
- Nov 14, 2011
- 574
- 488
Mkuu umekielewa ulichokokipost au?Sio kila kitu ni lazima ukijibu.Ukimya ni busara piaNenda benk kaulize salio
Unadhani bila mwalimu,ungeweza kupiga debe?
Na watoto wako uwafundishe mwenyewe
Wahi ATM mambo ni supaHabarini wakuu,jana jioni nilipata taarifa kutoka kwa rafiki yangu mmoja.Kuwa mshahara was mwezi April,2020 umeshatoka.
Na yeye alitumiwa message kupitia NBC Bank.So wadau wenye uhakika,je ni ya kweli hayo?Kama ni ya kweli,kongole kwa mh Rais!
Aliekuambia nina njaa ni nano?Na aliekuambia kuulizia mshahara ni aibu ni Mani?By the way ,kazi yangu ni yangu yako hainihusu.Be wise acha umburulaNjaa zitakumaliza
Wachana na hiyo kazi, we huoni aibu kila mwisho wa mwezi mnalialia ty
Mkuu kuna wanaowaza kwa kutumia makalioNa watoto wako uwafundishe mwenyewe
saa nyingine uwe na aibu. mshahara wenyewe shilingi ngapi hata wiki haifikiHabarini wakuu,jana jioni nilipata taarifa kutoka kwa rafiki yangu mmoja.Kuwa mshahara was mwezi April,2020 umeshatoka.
Na yeye alitumiwa message kupitia NBC Bank.So wadau wenye uhakika,je ni ya kweli hayo?Kama ni ya kweli,kongole kwa mh Rais!
Poa mkuu,nikaweke kabisa stock ya kutosha
Poa mkuu,nikaweke kabisa stock ya kutosha
Acha ujinga mfanyakaz ni maalimu tu?
Unamwambie nani sasa? Umeulizwa maoni yako?
Hongera kwako uliejiajiri.Kumbuka kimfaacho MTU ni chake.So kinatosha au hakitoshi,sijaja kwako kukuomba chochote.So mind ur own business mkuusaa nyingine uwe na aibu. mshahara wenyewe shilingi ngapi hata wiki haifiki
piga kimya.
kuajiriwa ni utumwa na naona unaufurahia
Anaona wivu kisa eti tupo nyumbani na tunalipwa hela. Ana wivu wa kishamba.Aliekuambia nina njaa ni nano?Na aliekuambia kuulizia mshahara ni aibu ni Mani?By the way ,kazi yangu ni yangu yako hainihusu.Be wise acha umburula
Hongera kwako uliejiajiri.Kumbuka kimfaacho MTU ni chake.So kinatosha au hakitoshi,sijaja kwako kukuomba chochote.So mind ur own business mkuusaa nyingine uwe na aibu. mshahara wenyewe shilingi ngapi hata wiki haifiki
piga kimya.
kuajiriwa ni utumwa na naona unaufurahia
Akwendreee!Anaona wivu kisa eti tupo nyumbani na tunalipwa hela. Ana wivu wa kishamba.
Kabisa mkuu,kuna watu wana chuki za hovyo sanaAnaona wivu kisa eti tupo nyumbani na tunalipwa hela. Ana wivu wa kishamba.
usikute wewe ni mchoma chips kavusaa nyingine uwe na aibu. mshahara wenyewe shilingi ngapi hata wiki haifiki
piga kimya.
kuajiriwa ni utumwa na naona unaufurahia