Hizo herufi "ty" ulimaanisha nin au ulitaka kusema "tu" kama ni kweli huo ni uandishi wako nakushauri uondoke kwa shemeji haraka kumbuka sasahivi kipindi cha corona shemeji ananywea pombe nyumbani. ahsante sanaNjaa zitakumaliza
Wachana na hiyo kazi, we huoni aibu kila mwisho wa mwezi mnalialia ty
saa nyingine uwe na aibu. mshahara wenyewe shilingi ngapi hata wiki haifiki
piga kimya.
kuajiriwa ni utumwa na naona unaufurahia
Usitoe Siri za kambi banaaa....Poa mkuu,nikaweke kabisa stock ya kutosha
sio wewe ni stress za kuchapwa na maisha
Ushatoka na mm wa kwangu nishautumia wote bro.Habarini wakuu,jana jioni nilipata taarifa kutoka kwa rafiki yangu mmoja.Kuwa mshahara was mwezi April,2020 umeshatoka.
Na yeye alitumiwa message kupitia NBC Bank.So wadau wenye uhakika,je ni ya kweli hayo?Kama ni ya kweli,kongole kwa mh Rais!
Poleni Walimu.
Najua kipindi hiki mnapitia wakati mgumu
[/QUOTE NI kweli Mkuu unawahurumia au !!!
kausha mkuu
Wewe ni mpumbavu ! Kama hujapata watoto makuombea kwa mola upate then siku umezaa watoto njoo u tag hii meseji,
Kaka mshahara upi tena wakati upo nyumbani....Habarini wakuu,jana jioni nilipata taarifa kutoka kwa rafiki yangu mmoja.Kuwa mshahara was mwezi April,2020 umeshatoka.
Na yeye alitumiwa message kupitia NBC Bank.So wadau wenye uhakika,je ni ya kweli hayo?Kama ni ya kweli,kongole kwa mh Rais!
Na kwa taarifa hao wanaodharuliwa ndiyo viongozi leo hii.Raisi,waziri mkuu wote hawa ni walimu.Mimi sio mwalimu lakini msipende kuwaona walimu kama takataka
Kwa taarifa tu mwalimu ni moja ya watumishi wanaolipwa vizuri tu ukilinganisha na Kada zingine
Na sio walimu tu wanaouliza mishahara ni wafanyakazi wote ukitaka kuliona hilo ingia magroup ya WhatsApp ya makazini kwao
Mwisho wa yote hela ni hela tu, sio kila mmoja anauliza mshahara sababu ana njaa, mwingine anatamani mshahara utoke afanye kitu alichopanga alichokitamani sana kama kumalizia kaujenzi kwenye Nyumba yake au ametembea Kwa miguu sana sasa umebaki mshahara mmoja tu akamilishe hela akavute mkoko wake
Lakini pia sio kila anayeuliza ni mtumishi kuna watu wanawadai watumishi hivyo anajihakikishia ili akadai chake
Logics ni nyingi tukiacha dhana moja tu ya njaa
Sent using Jamii Forums mobile app